ulikua unamkaza mno ndo maana kafeli na matokeo ya six bado acha pumba
mkuu nionavyo mimi hii post ya 2012 kabala hata wewe hujawa member...leo wewe unasema matokeo ya six bado...toka 2012 hajatoka au umedandia tren kwa mbele!!
pole sana, huyo ni girl frnd wako 2 na sio mkeo xo waachie majumu hayo wazazi wake au sio wana JF?
Kama ni lazima mkeo awe Dr., huyo mpige chini, halafu unakamata kitu kingine ambacho kiko tayari ni Dr.au kinakaribia kumaliza u-Dr. Tatizo liko wapi?
Wanajamvi hebu naombeni mnipe ushauri, coz nahisi unahitajika,
Rafiki yangu wa kike kamaliza form six moja ya shule za serikali.
Alikuwa anasoma combination ya PCB, ki maandalizi ya mtihani hayakuwa mabaya kwani alikuwa anasoma bording ya wasichana peke yake na hakuwa mzembe katika kujisomea na kuhakiki anafaulu, na mimi mwenyewe niliamini kabisa akifanya vibaya sana atapata division 3. ila matokeo yamekuja tofauti kabisa na matarajio yetu.
kapata division 0, ya 20. kimsingi ilituchanganya, kwani malengo na ndoto kama vilizimika hivi, na kujikuta tunaganda hata tumeshindwa la kufanya. MATOKEO YAKE YA FORM FOUR alipata division 2 nzuri tu, na lengo alitamani sana asomee u dr. wa watoto. hebu nawaomba wadau mnishauri nifanyeje kumsaidia atimize ndoto zake? za udr wa watoto?
kwa maamuzi ya wazazi wake kwa sasa wamemwambia ajaribu kuapply vyuo vichache, kwani imebidi atumie matokeo ya form 4. ili asome diploma.
naomba kama pia kuna chuo unachofahamu kinatoa mafunzo ya phamacy nipatie mawasiliano ya hicho chuo ili tuapply. pia hata ushauri wako mwingine unahitajika.
Thanks
Wewe ndo ulimfelisha.
Khaa kweli, wanamshauri mama wa watoto watatu sasaUzi wa 2012 umerudi leo2015 duuh
Wanajamvi hebu naombeni mnipe ushauri, coz nahisi unahitajika,
Rafiki yangu wa kike kamaliza form six moja ya shule za serikali.
Alikuwa anasoma combination ya PCB, ki maandalizi ya mtihani hayakuwa mabaya kwani alikuwa anasoma bording ya wasichana peke yake na hakuwa mzembe katika kujisomea na kuhakiki anafaulu, na mimi mwenyewe niliamini kabisa akifanya vibaya sana atapata division 3. ila matokeo yamekuja tofauti kabisa na matarajio yetu.
Kapata division 0, ya 20. Kimsingi ilituchanganya, kwani malengo na ndoto kama vilizimika hivi, na kujikuta tunaganda hata tumeshindwa la kufanya. MATOKEO YAKE YA FORM FOUR alipata division 2 nzuri tu, na lengo alitamani sana asomee u dr. wa watoto. hebu nawaomba wadau mnishauri nifanyeje kumsaidia atimize ndoto zake? za udr wa watoto?
Kwa maamuzi ya wazazi wake kwa sasa wamemwambia ajaribu kuapply vyuo vichache, kwani imebidi atumie matokeo ya form 4. ili asome diploma.
Naomba kama pia kuna chuo unachofahamu kinatoa mafunzo ya phamacy nipatie mawasiliano ya hicho chuo ili tuapply pia hata ushauri wako mwingine unahitajika.