Girlfriend wangu kapata division zero

Girlfriend wangu kapata division zero

Bado unaendelea kuzitumia ziro zake?👌
 
ulikua unamkaza mno ndo maana kafeli na matokeo ya six bado acha pumba

mkuu nionavyo mimi hii post ya 2012 kabala hata wewe hujawa member...leo wewe unasema matokeo ya six bado...toka 2012 hajatoka au umedandia tren kwa mbele!!
 
kwani imebidi atumie matokeo ya form 4. ili asome diploma?. Acha wewe, wote hatuwezi kuwa kama wewe.

naomba kama pia kuna chuo unachofahamu kinatoa mafunzo ya phamacy nip
 
mkuu nionavyo mimi hii post ya 2012 kabala hata wewe hujawa member...leo wewe unasema matokeo ya six bado...toka 2012 hajatoka au umedandia tren kwa mbele!!

hawa wanaojiunga jf kwa mkumbo ni shida sasa huyu kadandia tren kwa mbele ili aonekane nae katia comment
 
Kituu kilichobakiaa kwakee hatakama mtuu ulikuwa vizurii vipi utakiwii kupata zeroo labda itokee unconsiousness severe kabisaa siku ya paper kwa kawaida angepata hatatatuu huyoo alifuata mkumbo na sifa za kusoma pcb but mwambie aaply diploma wanawake wanabebwagaa sana atapata tena hata chuo cha serikalii
 
Wanajamvi hebu naombeni mnipe ushauri, coz nahisi unahitajika,

Rafiki yangu wa kike kamaliza form six moja ya shule za serikali.

Alikuwa anasoma combination ya PCB, ki maandalizi ya mtihani hayakuwa mabaya kwani alikuwa anasoma bording ya wasichana peke yake na hakuwa mzembe katika kujisomea na kuhakiki anafaulu, na mimi mwenyewe niliamini kabisa akifanya vibaya sana atapata division 3. ila matokeo yamekuja tofauti kabisa na matarajio yetu.

kapata division 0, ya 20. kimsingi ilituchanganya, kwani malengo na ndoto kama vilizimika hivi, na kujikuta tunaganda hata tumeshindwa la kufanya. MATOKEO YAKE YA FORM FOUR alipata division 2 nzuri tu, na lengo alitamani sana asomee u dr. wa watoto. hebu nawaomba wadau mnishauri nifanyeje kumsaidia atimize ndoto zake? za udr wa watoto?

kwa maamuzi ya wazazi wake kwa sasa wamemwambia ajaribu kuapply vyuo vichache, kwani imebidi atumie matokeo ya form 4. ili asome diploma.

naomba kama pia kuna chuo unachofahamu kinatoa mafunzo ya phamacy nipatie mawasiliano ya hicho chuo ili tuapply. pia hata ushauri wako mwingine unahitajika.

Thanks

Wewe ndo ulimfelisha.
 
Kama amelifahamu kosa lake ajaribu kurudia mitihani kama PC, ajisajili Necta kuanzia mwezi julai mpaka septemba.
Akipasua vizuri anaweza kutimiza ndoto zake kama wengine, mara nyingine vyuo hivyi vya kuungaunga mitaani huwa vinasumbua kwenye usajili TCU na hata soko la ajira baadaye.
 
Wanajamvi hebu naombeni mnipe ushauri, coz nahisi unahitajika,

Rafiki yangu wa kike kamaliza form six moja ya shule za serikali.

Alikuwa anasoma combination ya PCB, ki maandalizi ya mtihani hayakuwa mabaya kwani alikuwa anasoma bording ya wasichana peke yake na hakuwa mzembe katika kujisomea na kuhakiki anafaulu, na mimi mwenyewe niliamini kabisa akifanya vibaya sana atapata division 3. ila matokeo yamekuja tofauti kabisa na matarajio yetu.

Kapata division 0, ya 20. Kimsingi ilituchanganya, kwani malengo na ndoto kama vilizimika hivi, na kujikuta tunaganda hata tumeshindwa la kufanya. MATOKEO YAKE YA FORM FOUR alipata division 2 nzuri tu, na lengo alitamani sana asomee u dr. wa watoto. hebu nawaomba wadau mnishauri nifanyeje kumsaidia atimize ndoto zake? za udr wa watoto?

Kwa maamuzi ya wazazi wake kwa sasa wamemwambia ajaribu kuapply vyuo vichache, kwani imebidi atumie matokeo ya form 4. ili asome diploma.

Naomba kama pia kuna chuo unachofahamu kinatoa mafunzo ya phamacy nipatie mawasiliano ya hicho chuo ili tuapply pia hata ushauri wako mwingine unahitajika.

Thanks

mshika 2 moja umponyoka. ...
 
Huyo atakuwa ni mtalii tu, anataka kuwa Bongo fleva artist. Mpige dochi mapema la sivyo mtakuwa mnakutana mitaa ya Sinza usiku wa manane.
 
Back
Top Bottom