The Priest
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 1,029
- 259
Hahahahaaaa hiiii ya ukweli sanaMEN'S INBOX:
Mi nakupenda sana. njoo kwangu leo... (Mama mboga)
Please call me,thank you... (Mary)
lete mpya
Honey ! Leo sina credit fanyafanya basi.(loveness)
...SILIPENDI HILI LI SMS ,ILA BASI TU.
Wait baby nakutumia. (DAWA YA SIKIO).
K bebi! Ndo ninachokupendea.(loveness).
Honey ! Leo sina credit fanyafanya basi.(loveness)
...SILIPENDI HILI LI SMS ,ILA BASI TU.
Wait baby nakutumia. (DAWA YA SIKIO).
K bebi! Ndo ninachokupendea.(loveness).