heaven on desert
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,025
- 393
...na man haina plural ya ''mens''.....
Kama kweli diamond anakulipa,, then unakula mshahara wa bure...na wewe ndo kati ya wataomuangamiza....
Taratibu kijana/binti
mbona povu?una uhakika na ukisemacho?
Niko kwenye kipind cha kukusanya Faranga,sion kama swala la nimeishia la ngapi linanisaidiaumeishia darasa la ngapi?
Tuokoe muda..
Niko kwenye kipind cha kukusanya Faranga,sion kama swala la nimeishia la ngapi linanisaidia
Kwani wewe uko la ngapi?
nimelekebisha-nimerekebisha
Mnagombea nini hapa?
Mi nashangaa wametoka nduki huko wamekuja kugombana hapa
wanaparurana utadhani wamefumaniana gesti