Girls, if you’ve B.B. around for a while try to divide the number by 10

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
My dear sisters, no man will be comfortable to marry a lady who slept with even 5 men before him. Although to be honest it the best thing to do but when you are too honest here you will remain on a shelf forever.

In case just in case you happen to be asked the body count before him. Divide the number by 10 before providing the answer.
 
Kama nitakuwa nimeielewa lugha uliyotumia.....unawaambia mabinti kuwa ingawa wanaume hawapendi kuoa wanawake ambao mileage imekimbia sana, ila inabidi watembeze sana bakuli katika harakati za kumtafuta huyo atakayeitwa mume.

Kwakuwa unaowashauri si wa kuwaamini sana kiupambanuzi, watatembeza kwa wanaume 12, mwanaume wa 13 ataambiwa nimegawa kwa watu 12/10 = 1.2 tu.
 
My dear sisters, no man will be comfortable to marry a lady who slept with even 5 men before him. Although to be honest it the best thing to do but when you are too honest here you will remain on a shelf forever.

In case just in case you happen to be asked the body count before him. Divide the number by 10 before providing the answer.
Mzee wangu alinionya kuoa mdada aliyekwisha "tembea" na wanaume zaidi ya wawili. "If you are third in her experience, don't marry her". Ha ha ha ha. Ngoja nipate usia mwingine hapa.
 
Nilishawahi kupoteza Bwana nimpendae kwa kumueleza tangu nilipobikiriwa hadi nakutana nae.... By then.... Kasie was so innocent in speaking the truth knowing that he will take me cause I confess the truth.... Hehehehehehhehehehee that was the last dinner date, nakumbuka ilikuwa Forodhani Hotel na akasema anasafari ya kikazi kwa mwezi nzima kuelekea nje ya nchi akirudi tutakutana Twiga Hotel for a lunch date.

Manyoyaaaa....
 
😀😀😀 ni kwereeee aisee
 
Niliisoma hii kwenye jarida moja la wanawake linaitwa Now Women, yule mhariri alisema hasa ukishafika 30+ lazima utakuwa umepishana na visiki vingi. Hakuna atakae kuoa ukisema yote! Ndipo aliposema kama number ni 30 basi iwe 3.
 
Mzee wangu alinionya kuoa mdada aliyekwisha "tembea" na wanaume zaidi ya wawili. "If you are third in her experience, don't marry her". Ha ha ha ha. Ngoja nipate usia mwingine hapa.
The first one will be the one who broke off the seal, the second one happened to mix you up with your best friend. You called it off. The third one helped you with your revision but now he doesn’t pick up your calls any more.....
 
Siku hizi kila kitu mtumba kuanzia viatu soksi hadi mke. Labda ile kampeni ya kuzuia mitumba nchini kuanzia 2019 ianze tunaweza kupata vitu vya dukani(special). 😀😀😀
 
Nilishawahi kupoteza Bwana nimpendae kwa kumueleza tangu nilipobikiriwa hadi nakutana nae.... By then.... Kasie was so innocent in speaking the truth knowing that he will take me cause I confess the truth.... Hehehehehehhehehehee that was the last dinner date, nakumbuka ilikuwa Forodhani Hotel na akasema anasafari ya kikazi kwa mwezi nzima kuelekea nje ya nchi akirudi tutakutana Twiga Hotel for a lunch date.

Manyoyaaaa....
Nlkukomesha
 
Back
Top Bottom