Girls, if you’ve B.B. around for a while try to divide the number by 10

Girls, if you’ve B.B. around for a while try to divide the number by 10

Mmhh ninadhani tuanze kampeni ya kutoa tunzo kwa wanaofika form six na bado wako sealed

Hii tuzo ingeanzishwa miaka hiyo wakati nasoma A level ningeipata. Nimemaliza mtihani wa form six nikiwa nayo, enzi hizo sijaijua veet nanyoa na mkasi mdogo aahahahahahaaa vinabaki vimanyoya kama vinywele vya mtoto mchanga.
Nimemaliza A level mwezi wa 5, kabla sijaingia chuo mwezi wa 10 mwaka uliofuata, ikawa ishatolewa....

Ila mtoaji alitoa machozi mara tatu mie wala sikuona huruma chozi lake, mwisho akasema basi tuachane vinginevyo mie natafuta girlfriend mwingine maana wewe(Kasie) Hunan tofauti na dada yangu..... Hapo ndo alinikamata.

Kengee zake huko aliko.
 
Tutasubiri mwakani lakini itatoa motisha kwa wachini kuzitunza sealed zao

Mtahakiki vipi? Je za kuwekwa pia aka za kichina zitakubalika?

Mtahakiki vipi kuwa hii ni ya kichina na hii ni orijinale?

Itakuwaje pale wakati mnahakiki uasilia wa bikira halafu mkaitoa?

Kama hakuna uhakiki hata mie ntajitokeza kwenye kinyang'anyiro maana sijaolewa wala sina mtoto.
 
Tutachukua wataalamu wa Amina mbili dr ambae ataangalia dalili za msichana aliyekwisha ingiliwa na ni kizee mwenye utaalamu wa kujua bikes za asili
 
Tutachukua wataalamu wa Amina mbili dr ambae ataangalia dalili za msichana aliyekwisha ingiliwa na ni kizee mwenye utaalamu wa kujua bikes za asili

Najaribu kuwaza zoezi la upimaji likoje.... Maana kale kautepe ni kembamba mnoo.....

Kuna mtu humu alishaanzishaga aina za bikira akaweka na picha zake.... Labda kama kuna camera inaweza kupiga huko bila kugusa ule utepe.

Ntaomba kujua madaktari wataohusika nikijua namna wanavozipima naweza nikashiriki na usikute ndo nikawa nimejitokeza pekeyangu hehehehhee

Utepe hoyeeeeee.
 
Najaribu kuwaza zoezi la upimaji likoje.... Maana kale kautepe ni kembamba mnoo.....

Kuna mtu humu alishaanzishaga aina za bikira akaweka na picha zake.... Labda kama kuna camera inaweza kupiga huko bila kugusa ule utepe.

Ntaomba kujua madaktari wataohusika bikinis namna wanavozipima naweza nikashiriki na usikute ndo nikawa nimejitokeza pekeyangu hehehehhee

Utepe hoyeeeeee.
😂
 
1537001180922.jpeg

Imebidi nizi google
 
Ewaaah sasa nasubiria zoezi la upimaji bila kuathiri kuitoa wakati wa kupima. Walaahi niko kwenye kinyang'anyiro heheheeee.
Ngoja kwanza tujadili zawadi ya mshindi
 
My dear sisters, no man will be comfortable to marry a lady who slept with even 5 men before him. Although to be honest it the best thing to do but when you are too honest here you will remain on a shelf forever.

In case just in case you happen to be asked the body count before him. Divide the number by 10 before providing the answer.
"body count"[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sky Eclat
 
Ooke nyie endeleeni kujadili mie naanza mazoezi ya kegel. Kuhusu zawadi kombe tuu linanitosha sina gharama Kasie kigagula heheheeee.
Tukikutangaza mshindi some of your body counts may accuse us for being dishonest
 
Back
Top Bottom