Hii tuzo ingeanzishwa miaka hiyo wakati nasoma A level ningeipata. Nimemaliza mtihani wa form six nikiwa nayo, enzi hizo sijaijua veet nanyoa na mkasi mdogo aahahahahahaaa vinabaki vimanyoya kama vinywele vya mtoto mchanga.
Nimemaliza A level mwezi wa 5, kabla sijaingia chuo mwezi wa 10 mwaka uliofuata, ikawa ishatolewa....
Ila mtoaji alitoa machozi mara tatu mie wala sikuona huruma chozi lake, mwisho akasema basi tuachane vinginevyo mie natafuta girlfriend mwingine maana wewe(Kasie) Hunan tofauti na dada yangu..... Hapo ndo alinikamata.
Kengee zake huko aliko.