Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤐
[emoji108][emoji108][emoji91][emoji126]Mm siku zote huwambia wanawake wote ni wazuri hakuna mwanamke mbaya ila wanazidiana tu, mm ukitia mawigi, sjui kucha za bandia, kukata nyusi nakuona ni wabandia na sikuoi
[emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ngozi ya uso inaharibikaMake up zinatesa sana..... unapakwa sijui mirangi saba Kwenye uso mmoja, ukitoka hapo kila kitu usoni kinakuwa kizito mpaka unajihisi sio wewe. Looking simple and natural is everything [emoji119][emoji119]
Sent from my iPhone using JamiiForums
[emoji23][emoji23][emoji23]haya ni maneno ya mdada mzuri na mrembo kwa sura, maana
huwezi kuta mdada mwenye sura personal anaandika hii comment.
Duh,nimechekawadada wazuri wote husemaga wao wapo kawaida,ndio maneno yao hayo.
ila mimi nakwambia mkuu ungekua na sura personal,makeup ungetumia tu.
[emoji23][emoji23][emoji23]Sio make up tu,kuna pisi Kali huwa hawatoki mpaka vigodoro(matako ya bandia)Yakauke maana wengi wanaanikia ndani.
😁😁😁Sio make up tu,kuna pisi Kali huwa hawatoki mpaka vigodoro(matako ya bandia)Yakauke maana wengi wanaanikia ndani.