Cybergates
JF-Expert Member
- Dec 2, 2016
- 720
- 1,545
Kaka laptop gani nzuri kwa budget ya laki tano ambayo nitakua natumia kwa programming
Model ipi nzuriChangamoto ya saivi ni software nyingi zinaitaji memory kubwa. mfano vscode yevyewe bila extension nzito inaitaji kama ram GB1 ivi, postman/chrome naya ni kama 4 gb ivi
Ukitaka ku program simple API kwa ruby au python kwenye laptop ya ram 4gb inakua inakutesa
Kama budget ni 500k jitahidi kuongeza ongeza ifike hata 800k upate laptop ya 8ram 15-16inch screen
Ukiwa makini kwa hiyo laki 5 utapata nzuri tu ya kuanzia, hakikisha RAM iwe ya stick moja, na iwe walau 8GB na i5 10gen ukikaza unapata, itakusukuma.Kaka laptop gani nzuri kwa budget ya laki tano ambayo nitakua natumia kwa programming
Ndio nataka nijue model ili niitafuteUkiwa makini kwa hiyo laki 5 utapata nzuri tu ya kuanzia, hakikisha RAM iwe ya stick moja, na iwe walau 8GB na i5 10gen ukikaza unapata, itakusukuma.
Ninadhani peke yangu🥱Hapa kweli kazi ipo, GitHub kila mara ipo down mara feature hii haifanyi kazi au ile
Sasa leo mtu umefanya maboresho una push GitHub imegoma