Gitonga, mwana tiktok maarufu kutoka Kenya asema Boniphace Mwangi ni muongo wa kutupwa

Huyu hapa tena.
Your browser is not able to display this video.
 
Msiba wa kujitakia hauna pole. Hao wageni wapigwe tena wakiendelea kuingilia yasiyowahusu huko kwao kuna shida tele waanze na kwao.
 
Reactions: Tui
Wakenya wameshtukia uongo wa Boniphace Mwangi, wanamuanika upuuzi wake kila mahali. View attachment 3356732
Boniface Mwangi ni mtu wa drama sana. Kwenye kila maandano Kenya, yeye Lazima ajifanye kaguswa huko nyuma na polisi, unamkuta yupo na boxer tu hana shati wala suruali.

anapenda mambo nonsense sana Mwangi 🐒
 
Wee embe bolibo, acha kuokoteza vichaa wenzako, wenye tabia kama zenu. Huyo kama huwa ana matatizo na Bonny je? Halafu nakusubiria kwenye kona, utanasa kwenye nyavu soon...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…