Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Akisha hakiki Luca nafuata mimi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akisha hakiki Luca nafuata mimi
Hatari gani ya yale mapori au wanyama walafi wa zile pori?ni pepo tu hilo, ñjoo ufanyiwe maombi tu na utakua jasiri kama Simba, lakini huru, usie na hofu, mwenye nguvu, maarifa na maono ya mbali kabla ya hatar 🐒
Mwanao akiwa na tabia za ushoga haimaanishi wewe baba yake ndie umemtuma awe shoga,ni tamaa zake tuh zimemponza.Lakini yeye ni credible source licha ya mamlaka kumtumbua haifanyi kilichosemwa kuwa cha uongo.
Kumbuka hiyo mamlaka ndio mara ya kwanza ilimpa baraka ya kusimama kama mwakilishi wa mamlaka za juu Longido kwahiyo kuna direct link kati yake na mamlaka za juu hakuna namna anaweza sema uongo
MAV......I hamna hoja hapa!!!Friends and Our Enemies,
Kuongoza nchi siyo jambo la kufanya majaribu eti ili tuweze kuona yupi ni bora kuliko mwingine.
Ni suala la maisha na kifo,huwezi kujaribu sumu kwa kuionja.
Ni hadi pale wapinzani wa nchi hii watapofikia hatua ya kutuonyesha wazi wazi kwa vitendo kuwa ni mbadala halisi wa hawa waliopo madarakani ndipo wataaminika kupewa mamlaka ya kuongoza nchi.
Ni hadi pale kasumba ya ubinafsi uchu wa madaraka uliopo kwa hao wapinzani itapoondoka.
Wenyewe kwa wenyewe wamekuwa ni wabinafsi,hawako pamoja na hawawezi kuwa na moyo wa kuungana pamoja na kuweka tofauti zao pembeni ili wawe na nguvu moja.
Kitu kinachowazunguka ni ubinafsi na uchu wa madaraka baina yao.
Chadema Mbowe kaamua kuwa ni mwenyekiti wa Maisha,CUF Lipumba kaamua kuwa mwenyekiti wa maisha,same applies kwa vyama vingine pia.
Wanalilia katiba mpya huku wao wenyewe wakiwa hata kuzitii katiba za vyama vyao hawawezi,giza limetanda kwenye mwanga wa maono yao,na hakuna jua litawaka katika siku zao za kufikiria demokrasia ya ukweli.
Hawana cheni katika miguu yao lakini wanashindwa kutembea na kwenda mbele kabisa,ni watu ambao wamegeuka kuwa ni wajasiriamali wa kisiasa ili waweze kuishi.
Wamekuwa ni watu wa kudandia hoja moja baada ya nyingine na kukosa focus ya kweli ya kuaminika na kupewa mamlaka ya kuongoza nchi.
Kuwapa imani watu hawa ni kujichimbia kaburi letu wenyewe,hawajaonyesha nia ya dhati bado.
Sema tu muislamu mwenzio kashika dola.... uzuri kwa ule upande mnaouchukia huwa haijalishi nani yupo kitini na ni wa chama gani mrija wa kuku hutiririka kama kawaida. Mtaendelea hvyo hvyo kuchambia vikopo vya kutu na kusubiri kondoo la bure toka arabuni huku mkiogelea kwenye vumbi la dhiki na umasikini uliokithiri. Mnalaana.Friends and Our Enemies,
Kuongoza nchi siyo jambo la kufanya majaribu eti ili tuweze kuona yupi ni bora kuliko mwingine.
Ni suala la maisha na kifo,huwezi kujaribu sumu kwa kuionja.
Ni hadi pale wapinzani wa nchi hii watapofikia hatua ya kutuonyesha wazi wazi kwa vitendo kuwa ni mbadala halisi wa hawa waliopo madarakani ndipo wataaminika kupewa mamlaka ya kuongoza nchi.
Ni hadi pale kasumba ya ubinafsi uchu wa madaraka uliopo kwa hao wapinzani itapoondoka.
Wenyewe kwa wenyewe wamekuwa ni wabinafsi,hawako pamoja na hawawezi kuwa na moyo wa kuungana pamoja na kuweka tofauti zao pembeni ili wawe na nguvu moja.
Kitu kinachowazunguka ni ubinafsi na uchu wa madaraka baina yao.
Chadema Mbowe kaamua kuwa ni mwenyekiti wa Maisha,CUF Lipumba kaamua kuwa mwenyekiti wa maisha,same applies kwa vyama vingine pia.
Wanalilia katiba mpya huku wao wenyewe wakiwa hata kuzitii katiba za vyama vyao hawawezi,giza limetanda kwenye mwanga wa maono yao,na hakuna jua litawaka katika siku zao za kufikiria demokrasia ya ukweli.
Hawana cheni katika miguu yao lakini wanashindwa kutembea na kwenda mbele kabisa,ni watu ambao wamegeuka kuwa ni wajasiriamali wa kisiasa ili waweze kuishi.
Wamekuwa ni watu wa kudandia hoja moja baada ya nyingine na kukosa focus ya kweli ya kuaminika na kupewa mamlaka ya kuongoza nchi.
Kuwapa imani watu hawa ni kujichimbia kaburi letu wenyewe,hawajaonyesha nia ya dhati bado.
ashakumbsi matusi...Friends and Our Enemies,

"Sina tamaa ya madaraka na kwa sababu hiyo nitawaeleza kwa uhuru kamili walio madarakani, yaliyo mabaya na yaliyo mazuri,Friends and Our Enemies,
Kuongoza nchi siyo jambo la kufanya majaribu eti ili tuweze kuona yupi ni bora kuliko mwingine.
Ni suala la maisha na kifo,huwezi kujaribu sumu kwa kuionja.
Ni hadi pale wapinzani wa nchi hii watapofikia hatua ya kutuonyesha wazi wazi kwa vitendo kuwa ni mbadala halisi wa hawa waliopo madarakani ndipo wataaminika kupewa mamlaka ya kuongoza nchi.
Ni hadi pale kasumba ya ubinafsi uchu wa madaraka uliopo kwa hao wapinzani itapoondoka.
Wenyewe kwa wenyewe wamekuwa ni wabinafsi,hawako pamoja na hawawezi kuwa na moyo wa kuungana pamoja na kuweka tofauti zao pembeni ili wawe na nguvu moja.
Kitu kinachowazunguka ni ubinafsi na uchu wa madaraka baina yao.
Chadema Mbowe kaamua kuwa ni mwenyekiti wa Maisha,CUF Lipumba kaamua kuwa mwenyekiti wa maisha,same applies kwa vyama vingine pia.
Wanalilia katiba mpya huku wao wenyewe wakiwa hata kuzitii katiba za vyama vyao hawawezi,giza limetanda kwenye mwanga wa maono yao,na hakuna jua litawaka katika siku zao za kufikiria demokrasia ya ukweli.
Hawana cheni katika miguu yao lakini wanashindwa kutembea na kwenda mbele kabisa,ni watu ambao wamegeuka kuwa ni wajasiriamali wa kisiasa ili waweze kuishi.
Wamekuwa ni watu wa kudandia hoja moja baada ya nyingine na kukosa focus ya kweli ya kuaminika na kupewa mamlaka ya kuongoza nchi.
Kuwapa imani watu hawa ni kujichimbia kaburi letu wenyewe,hawajaonyesha nia ya dhati bado.
Hiki ulichoandika hapa naamini kabisa huyo jamaa na wenzake hawana uwezo wa kukielewa.Lakini yeye ni credible source licha ya mamlaka kumtumbua haifanyi kilichosemwa kuwa cha uongo.
Kumbuka hiyo mamlaka ndio mara ya kwanza ilimpa baraka ya kusimama kama mwakilishi wa mamlaka za juu Longido kwahiyo kuna direct link kati yake na mamlaka za juu hakuna namna anaweza sema uongo
Mimi ninaona ukija ule upinzani wa kweli, kutakuwa na vita ya silaha za moto, halafu ndio heshima itakuwemo kama huko Uingereza na USA!Ni matokeo ya kukosa upinzani unaoeleweka
Sasa how sure you are kuwa alitumwa na mamlaka??Hiki ulichoandika hapa naamini kabisa huyo jamaa na wenzake hawana uwezo wa kukielewa.
Umeandika jambo la msingi sana ambalo kwa wenye akili timamu lazima waumize kichwa kulifafanua.
Haki yoyote hupiganiwa na si kusubiria upewe kirahisi.Friends and Our Enemies,