Pre GE2025 Giza limetanda kwa wapinzani wa nchi hii, ni ngumu kushika dola

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
ni pepo tu hilo, ñjoo ufanyiwe maombi tu na utakua jasiri kama Simba, lakini huru, usie na hofu, mwenye nguvu, maarifa na maono ya mbali kabla ya hatar 🐒
Hatari gani ya yale mapori au wanyama walafi wa zile pori?
 
Mwanao akiwa na tabia za ushoga haimaanishi wewe baba yake ndie umemtuma awe shoga,ni tamaa zake tuh zimemponza.
 
MAV......I hamna hoja hapa!!!
 
Kwa zaidi ya Miaka ishirini kweli Chama cha Siasa hakijasimama? Ndiyo maana nasema mfumo wa vyama vingi ilikuwa geresha ya kuepuka wimbi la Pressure za nchi za Magharibi na Marekani kulazimisha mfumo wao wakati Soviet imezama!!! Kwa maneno mengine, Washindani nchini ni wenzetu! Mwenye Dii zake ameelewa!!
 
Wapinzani na hawa CCM ni wa kupuuzwa kama ambavyo mwenge umeanza kupuuzwa huku mikoani.
 
Sema tu muislamu mwenzio kashika dola.... uzuri kwa ule upande mnaouchukia huwa haijalishi nani yupo kitini na ni wa chama gani mrija wa kuku hutiririka kama kawaida. Mtaendelea hvyo hvyo kuchambia vikopo vya kutu na kusubiri kondoo la bure toka arabuni huku mkiogelea kwenye vumbi la dhiki na umasikini uliokithiri. Mnalaana.
 
ashakumbsi matusi...

Haya ni Mawazo/fikra za mtanzania wa kawaida a.k.a mnyonge kama mnavyoitwa na ccm. Siwezi changia kwakuwa sipo kwenye kundi ulilopo.
 
"Sina tamaa ya madaraka na kwa sababu hiyo nitawaeleza kwa uhuru kamili walio madarakani, yaliyo mabaya na yaliyo mazuri,
Na nitafanya hivyo kwa kila chama na kikundi cha siasa,
Bila hofu bila upendeleo,

✍️✍️ Vitisho na hofu havileti amani,

✍️✍️ Ukimya makaburini hauleti amani,

✍️✍️ Dhuluma na mabavu ya dola havileti amani,

✍️✍️ Amani huletwa na wema"
By Askofu....... Na Aserbert Ngurumo.
 
Hiki ulichoandika hapa naamini kabisa huyo jamaa na wenzake hawana uwezo wa kukielewa.

Umeandika jambo la msingi sana ambalo kwa wenye akili timamu lazima waumize kichwa kulifafanua.
 
Hiki ulichoandika hapa naamini kabisa huyo jamaa na wenzake hawana uwezo wa kukielewa.

Umeandika jambo la msingi sana ambalo kwa wenye akili timamu lazima waumize kichwa kulifafanua.
Sasa how sure you are kuwa alitumwa na mamlaka??
 
Haki yoyote hupiganiwa na si kusubiria upewe kirahisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…