Lakini isitoshe kuna hili la kutangaziwa kipigo na Vijana wa CCm kwa Upinzani.,ukiacha lile la tume kutuengua na kutuwekea Visheria vingi vya mitego na kandamizi.
ona
Kuhusu Zanzibar kuchaguliwa Mgombea asiyekubaliwa na CCM zanzibar pia nalo linawalazimisha wazanzibari kufanya Jambo lao, ukiacha lile la Muungano kuwabana