Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Muda huu giza limetamalaki kwenye kituo cha mabasi ya mwendo kasi Kimara.
Msongamano wa abiria ni mkubwa mno, magari ni kama vile yamegoma.
Hii ni aibu kwa taifa , yaani mama aite wageni wake kupitia Royal Tour, halafu wageni wapande mwendo kasi uliojaa kunguni na huduma mbovu, sijui kwenye nchi zao wanaenda kuiongelea vipi Tanzania 🇹🇿?
Tumeshindwa mwendo kasi je tutaiweza treni ya umeme?