Muda huu giza limetamalaki kwenye kituo cha mabasi ya mwendo kasi Kimara.
Msongamano wa abiria ni mkubwa mno, magari ni kama vile yamegoma.
Hii ni aibu kwa taifa , yaani mama aite wageni wake kupitia Royal Tour, halafu wageni wapande mwendo kasi uliojaa kunguni na huduma mbovu, sijui kwenye nchi zao wanaenda kuiongelea vipi Tanzania ๐น๐ฟ?
Tumeshindwa mwendo kasi je tutaiweza treni ya umeme?