DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
- Thread starter
- #21
Sahii kabisa,Naomba ieleweke hawa wamekutana ni wa idara moja ndio maana wamekubaliana.
Mzungu havumiliagi usaliti hata punje.
Ukichepuka ujue ndoa imekufa...hasa Us
Mke akikushitaki umekwisha.
Kwa kifupi ni ndio wanaheshimu makubaliano na ndio yao ni ndio.
Ni binadamu bora sana katika uaminifu na kuheshimu makubaliano baina yao kwa 98%
Wazungu wanaheshimu Sana makubaliano
Wee Jenga picha TU umeoa afu unamtafutia kazi mkeo, na unamsindikza akakazwe uku unashuhudia Kisha mlipwe pesa ikasaidie familia [emoji4]