DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
- Thread starter
- #141
Ha ha ha...Safi SanaWaifu alishaniruhusu nichepuke live live kabsa (japo alikua mbali)
Na alikua serious and the reason is "she wanted a baby" so she need my Sperm to be Strong maana kwa kufanya mara kwa mara mwanaume unazipa uimara sperms zinakua na uwezo wa kutungisha Mimba.
na kweli nilifata ushauri wake,alipokuja ile likizo ya wiki 1 tu akanasa kweli,now we have a cute handsome Boy...
Nimemuomba tena Ruhusa Wife nikachepuke, kaninyima eti kaniambia kwasasa haitaji mtoto akihtaji ataniruhusu nijiandae...
Sometimes mapenzi ya mbali Matamuuu
Mtu wako Ni mzungu balaa[emoji4]