GK: Alikiba ni mfalme wa mziki

Haka kaugomvi katawarudisha wengi naona kwenye game, hii inaitwa kutafuta kik
 
Kwani Gk ndio nani,ni mfalme kwake yeye
Yuko kwenye gem ktambo anajua mziki, anajua changamoto za mziki wa bongo, si hilo tu pia amefanya vema kwny wimbo wake mpya, angekua hafanyi vzr yungesema yeye mwnyw hawezi
 
Angrjisfia yye,kuwa mfalme wa muski ina maana gani?
 
Diva anamshabikia Ally, so Diva akibadili muelekeo na Jamaa atafuata tu wala msiumize vichwa.
 
crazy doesn't only mean a person with a mental problem, but also a person who is looking after something with determination, period
Kwanza sikutaka nikujibu kwasababu nina aleji na kiingilishi.Bulaza wewe inaonyesha ubongo wa fuleva umeanza kufatilia hivi karibuni,maana hiyo TAFASIRI NI YAKE YEYE ALIYOKUWA ANAITOA AKIULIZWA MANTIKI YA KUJIITA YEYE NI "CRAZY"NA ALIKUWA ANASEMA NANUKUU "mimi ni chizi kwenye huu muziki wa hip hop uniambii kitu kila kitu changu ni hiphop, na ndio maana washikaji zangu walikuwa wananiita we jamaa kwa kweli ni chizi na hii kitu,sasa mimi nikaamua kuiweka kiingilishi" mwisho wa kunukuu.
 
Gk ni ndugu yake Diva wa clouds......Diva anamshabikia Alikiba saaanaa na kwa madoidoo kwa sababu Mond waligombana thiku moja hivii hadi ikaruka liveee......kwa hiyo Gk lazima amsapoti baby kasautiii kumshabikia Alikiba naota lakini
mkuu rekebisha hapo kwa ndugu yake
 
Mm naomba kujua uKing wa Alikiba ni nini
 
alokuwa hawez hata kuimba zaidi ya kugugumia gugumisa tu kwenye mic! tena ni bora hata alivyoamua kufanya mishe zingine, ila muziki amna mle!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…