Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza sikutaka nikujibu kwasababu nina aleji na kiingilishi.Bulaza wewe inaonyesha ubongo wa fuleva umeanza kufatilia hivi karibuni,maana hiyo TAFASIRI NI YAKE YEYE ALIYOKUWA ANAITOA AKIULIZWA MANTIKI YA KUJIITA YEYE NI "CRAZY"NA ALIKUWA ANASEMA NANUKUU "mimi ni chizi kwenye huu muziki wa hip hop uniambii kitu kila kitu changu ni hiphop, na ndio maana washikaji zangu walikuwa wananiita we jamaa kwa kweli ni chizi na hii kitu,sasa mimi nikaamua kuiweka kiingilishi" mwisho wa kunukuu.crazy doesn't only mean a person with a mental problem, but also a person who is looking after something with determination, period
mkuu rekebisha hapo kwa ndugu yakeGk ni ndugu yake Diva wa clouds......Diva anamshabikia Alikiba saaanaa na kwa madoidoo kwa sababu Mond waligombana thiku moja hivii hadi ikaruka liveee......kwa hiyo Gk lazima amsapoti baby kasautiii kumshabikia Alikiba naota lakini
Paaache hifohifoooo....si umeelewaaaamkuu rekebisha hapo kwa ndugu yake