GK na Ne-yo mbona huwa hawavui kofia?

GK na Ne-yo mbona huwa hawavui kofia?

Nina 50,000/= kwa atayeweka picha ya yule jamaa wa P unit kenya akiwa hana kofia..anitwa Frasha kama sikosei.
 
Yule jamaa nilisikia ni doctor,kwahyo anavaa kofia kwenye video ili kumaintain confidentiality
 
Nina 50,000/= kwa atayeweka picha ya yule jamaa wa P unit kenya akiwa hana kofia..anitwa Frasha kama sikosei.

Duh kweli nimetafuta picha yake google kila kona cjapata" hyo hela baki nayo tu
 
Back
Top Bottom