GK: Nikipewa nitumie "beef" ya Diamond na Ali Kiba kutengeneza pesa watakua mabilionea.

Kupatwa kwa GK.
Sio kosa lake ni King wa macrazy labda ndo sababu.
Atuliage huko ili heshima yake idumu mana asa hivi kila akiongea lazima aharibu tu.
 
Yeye katoka kuwa Mkuu wa kundi la East coast mpaka kuwa Dereva wa Mama yake halaf anakuja na sound za kuwafanya wengine Mabilionea!
 
Gk akiongea kwenye kipindi cha Planet bongo kinachorushwa na east africa radio mwishoni mwa wiki
Alizungumzia mambo mengi sana kuhusu changamoto wa muziki wa wakati ule na sasa

Aliulizwa iwapo. Kuna faida yeyeto ya wasanii kuwa na bifu

Gk alitoa mtazamo wake
Akasema bifu inaweza kuleta faida au hasara
Akatolea mfano jinsi bifu ya East coast na tmk ilivyoleta manufaa
Kipitia bifu waliweza kumiliki gari kwa kila msanii, kuuza bidhaa, kufanya show nk

Akatolea mfn wa ali kiba na diamond
Kuwa akipatikana mtu anayejua biashara anaweza kutengeneza billions of money kutokana na wasanii hao kuwa kwenye piki ya juu kwa sasa

Sasa mnaleta chuki na gk ili iweje

Gk ni mtu poa sana yupo simple anatoka familia yenye misingi bora hana shobo
Ana masters ila huwezi kumsikia akijitangaza kama wasanii wengine

Wabongo tujifunze kupokea vitu in a positive way, sio kila kitu tunakiona negative
 
R.I.P kichaa gk
 
Aliyemwambia kufanya show uwanja wa taifa ndyo kuwa bilionea nani? Vip keshammaliza chuo,. Matokeo vip? Namshauri atengeneze bifu kati yake yeye mwana fa na A Y, wabana pua awaachie mafanikio yao
 
Ila mjanja, naona anaongea vitu vinavuomfanya aongelewe na watu siku hizi, yupo masikioni mwa watu!
 
Gk Kaka mkubwa kwani ni nani aliye nyum
a ya hao jamaa Mpaka usubiri Kibali hao n wafanyabiashara na wanahitaj mkwanja kama umeiona fursa itumie utengeneza pesa .Kwan Kwa mamen Kiba na huyo rais wa wasafi Mzuri kwao pesa kama track yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…