GK: Sifanyi show chini ya 30million Tsh.

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
12,320
Reaction score
11,327
Naheshimu muziki wa GK lakini kwa nlichomsikia anasema ni wazi kua atakwama...umepotea kwenye anga ya muziki then unarudi halafu unasema kua hufanyi show chini ya milioni 30. Dah aisee...diamond asemeje, rayvany, harmonize,,alikiba je, na wakali wanaotingisha katika anga ya muziki redioni kwa sasa.
duh gk mwana umechemka hapa. Swali ni kua are you worth 30 million kaka mkubwa [emoji23][emoji23]??
 
Hajitambui hatakiingilio akiweka buku atapatawatu kwa shida,
 
Asikusumbue kichwa, wala hakumaanisha! GK yule hata kama hana shida bado anaweza kupiga hata show ya Laki 5 kwa ajili ya kubahatisha kurudi!!!
 
Huyu jamaa hata ambwene na hamis wanamsupport tuu kwa aibu kuwa ni mshkaji wao, ila habebeki ni gunia la misumari, ana style nzuri ya kurap na sauti anakomalia kuimba...ngoma sijui ya pili hii lakini hatoboi...poor him!
 
Ni promota gani kwanza anaweza mleta huyo, kwanza huyo promota atakuwa kilaza, kwanza kwa kipi hasa, yaani huyu jamaa kwa kipindi hiki hata show yake iwe bure siendi
 
Hiyo ni promo tu anajipigia ili mtu akija kumuomba kwenye show wasianze bargaining ya kuongelea laki laki bali waanze kuzungumzia milioni kwenda mbele.
 
Huyu jamaa hata ambwene na hamis wanamsupport tuu kwa aibu kuwa ni mshkaji wao, ila habebeki ni gunia la misumari, ana style nzuri ya kurap na sauti anakomalia kuimba...ngoma sijui ya pili hii lakini hatoboi...poor him!
Halafu anataka milion 30??
 
The real GK was 2005 huyu wa sasa kageuka Dereva wa Mama yake ambae ni Mbunge wa Viti Maalum Chadema Mama Kaihula
 
Naheshimu muziki wa GK lakini kwa nlichomsikia anasema ni wazi kua atakwama...umepotea kwenye anga ya muziki then unarudi halafu unasema kua hufanyi show chini ya milioni 30. Dah aisee...diamond asemeje, rayvany, harmonize,,alikiba je, na wakali wanaotingisha katika anga ya muziki redioni kwa sasa.
duh gk mwana umechemka hapa. Swali ni kua are you worth 30 million kaka mkubwa [emoji23][emoji23]??
GK ni nani tena? hili jina siyo geni sana masikioni pangu
 
Kwanzi hiyo show nani anampa?
Anakimbilia kudai hicho kiasi wakati hata hiyo show ya kulipwa kidogo ya hapo hapati
Anatafuta kick tumkumbuke kuwa yupo hana jipya
 
Back
Top Bottom