BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
Hajitambui hatakiingilio akiweka buku atapatawatu kwa shida,Naheshimu muziki wa GK lakini kwa nlichomsikia anasema ni wazi kua atakwama...umepotea kwenye anga ya muziki then unarudi halafu unasema kua hufanyi show chini ya milioni 30. Dah aisee...diamond asemeje, rayvany, harmonize,,alikiba je, na wakali wanaotingisha katika anga ya muziki redioni kwa sasa.
duh gk mwana umechemka hapa. Swali ni kua are you worth 30 million kaka mkubwa [emoji23][emoji23]??
[emoji23][emoji23]Akili hana... kichwa chake kazi kufuga nywele tu... kibuyu huyo
Halafu anataka milion 30??Huyu jamaa hata ambwene na hamis wanamsupport tuu kwa aibu kuwa ni mshkaji wao, ila habebeki ni gunia la misumari, ana style nzuri ya kurap na sauti anakomalia kuimba...ngoma sijui ya pili hii lakini hatoboi...poor him!
GK ni nani tena? hili jina siyo geni sana masikioni panguNaheshimu muziki wa GK lakini kwa nlichomsikia anasema ni wazi kua atakwama...umepotea kwenye anga ya muziki then unarudi halafu unasema kua hufanyi show chini ya milioni 30. Dah aisee...diamond asemeje, rayvany, harmonize,,alikiba je, na wakali wanaotingisha katika anga ya muziki redioni kwa sasa.
duh gk mwana umechemka hapa. Swali ni kua are you worth 30 million kaka mkubwa [emoji23][emoji23]??