Huyo ndio MHAYA origional bana.Naheshimu muziki wa GK lakini kwa nlichomsikia anasema ni wazi kua atakwama...umepotea kwenye anga ya muziki then unarudi halafu unasema kua hufanyi show chini ya milioni 30. Dah aisee...diamond asemeje, rayvany, harmonize,,alikiba je, na wakali wanaotingisha katika anga ya muziki redioni kwa sasa.
duh gk mwana umechemka hapa. Swali ni kua are you worth 30 million kaka mkubwa [emoji23][emoji23]??
Avatar yako tu mkuu....Napenda sana anavyoimba na kile kigugumizi flani hivi ila hizo milioni 30 labda kama za zimbabwe.
Isitoshe ameishasahaulika kwenye game tunaomjua na wale wazee kama mie
hahahahaha...umecomenti kwa hasira sanaAkili hana... kichwa chake kazi kufuga nywele tu... kibuyu huyo