GK: Sifanyi show chini ya 30million Tsh.

GK: Sifanyi show chini ya 30million Tsh.

Naheshimu muziki wa GK lakini kwa nlichomsikia anasema ni wazi kua atakwama...umepotea kwenye anga ya muziki then unarudi halafu unasema kua hufanyi show chini ya milioni 30. Dah aisee...diamond asemeje, rayvany, harmonize,,alikiba je, na wakali wanaotingisha katika anga ya muziki redioni kwa sasa.
duh gk mwana umechemka hapa. Swali ni kua are you worth 30 million kaka mkubwa [emoji23][emoji23]??
Huyo ndio MHAYA origional bana.
 
Huyu jamaa ndo kama wale wagonjwa ambao baada ya mwezi mzima wa kuwa mahututi wanapata nafasi ya kufungua macho kuongea kidogo,kucheka na kula chakula halafu wanakufa.Kujipangia show Tsh mil 30 kwa mtu mahututi kimuziki kama yeye kwa sasa ni kujiua tu hakuna namna.
 
nikisema one,bas na machiz semen two(two)...nikisema three......hehe noma sana
 
Haha GK in his hey-day ananikumbusha Craig Mack, lyrically wack but he sounded nice.

Anyway, nadhani nawashangaa zaidi wanaomshangaa GK hapa. The man dated Diva, somehow I don't figure how y'all expected any sense.
 
Sifa yetu wanaume wa kiswahili / kiafrika ni kujitutumua kwenye hamna na ndio maana huyu jamaa anaendelea kutuwakilisha kwenye kujitutumua, yaani hapo anajua kabisa hawezi kuitwa kufanya show ya maana yoyote hivyo kinachobaki anajifanya "bila 30 million sifanyi show" wakati ukweli hana cha kuimba na kuonyesha kwa hadhira unless kama awe mwanamuziki mualikwa ili aimbe nyimbo yake moja atambae zake
 
Back
Top Bottom