Mr kimaro
Member
- Nov 22, 2019
- 10
- 3
Matapeli hao achana nao. Hiyo laki 5 ni ya nn
Macho ukungu macho kuwasha, nmekuwa nikishauriw sana kuingia kwny hii kitu, kuna dada mmoja ndo ana mwez wa pili hv bas kila siku ananishawish, kanifuata mpaka nilipo lkn sina iman kwn nilienda kupata semina ya qnet, mtaj 5.m,aliyepigwa na hao alliance ajitokeze tupate faida jmn