Hakuna hela ya bure Duniani na haitakuja kuwepo.Kama sijaelewa kitu hivi....... ko hizo hela tumepewa bure au ndo mkopo nafuu..
Fedha hizi kama ni kweli zinatolewa basi zipelekwe Kule Kilimanjaro Hali zao kuhusu corona ni mbaya. Mortuary zimejaa maiti na oxygen hakuna. Vinginevyo tutasikia zinapelekwa TARURA kutengeneza barabara za vijijini.Bodi ya Mfuko wa Kimataifa wa Kusaidia wa Kusaidia Mapambano dhidi ya UKIMWI, Kifua Kikuu na Malaria (Global Fund) imeidhinisha Dola Milioni 112 kusaidia Tanzania kupambana na Ugonjwa wa COVID-19
Mkurugenzi Mtendaji wa Global Fund, Peter Sands amesema Fedha zitatumika kununua PPE, mitungi ya Oxygen, kuziongezea uwezo maabara na kuboresha miundombinu
Rais Samia Suluhu Hassan amesema janga la Corona limeathiri mapambano dhidi ya Kifua Kikuu, UKIMWI na Malaria
View attachment 1883197View attachment 1883198
Zitapelekwa kumalizia reli๐Hizi pesa huwa zinatolewa lakini bado tunasikia kuna uhaba wa oxygen kwenye hospitali za serikali, huu upole wa Samia unatumiwa sana na wajanja, na hizi wasipoangalia zitapigwa kama hapatakuwepo na strong measures kwenye ufuatiliaji na usimamizi.