#COVID19 Global Fund yatoa Dola za Marekani Milioni 112 kusaidia Tanzania kupambana na UVIKO-19

Hizi pesa huwa zinatolewa lakini bado tunasikia kuna uhaba wa oxygen kwenye hospitali za serikali, huu upole wa Samia unatumiwa sana na wajanja, na hizi wasipoangalia zitapigwa kama hapatakuwepo na strong measures kwenye ufuatiliaji na usimamizi.
Kwani huo upungufu ulianza jana? Mbona wakati wa magufuli hukusema?
 
Fedha hizi kama ni kweli zinatolewa basi zipelekwe Kule Kilimanjaro Hali zao kuhusu corona ni mbaya. Mortuary zimejaa maiti na oxygen hakuna. Vinginevyo tutasikia zinapelekwa TARURA kutengeneza barabara za vijijini.
Ni sababu zipi zinazofanya Kilimanjaro kuwe na kiasi kikubwa cha maambukizi ya corona hadi kupelekea hali hiyo?
 
wanawaitaga mabeberu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ccm hamnazo
 
Kaka alizikataa kabisa.. Dada akubali, sijui ni mkopo au ni msaada?
 
Walete vifaa mabeberu, viongozi wa kiafrika na pesa za walala hoi ni kama chui na mbuzi tu.
 
Bodi ya Mfuko wa Kimataifa wa Kusaidia wa Kusaidia Mapambano dhidi ya UKIMWI, Kifua Kikuu na Malaria (Global Fund) imeidhinisha Dola Milioni 112 kusaidia Tanzania kupambana na Ugonjwa wa COVID-19

Mkurugenzi Mtendaji wa Global Fund, Peter Sands amesema Fedha zitatumika kununua PPE, mitungi ya Oxygen, kuziongezea uwezo maabara na kuboresha miundombinu

Rais Samia Suluhu Hassan amesema janga la Corona limeathiri mapambano dhidi ya Kifua Kikuu, UKIMWI na Malaria

View attachment 1883197View attachment 1883198
Lugha za kibeberu zinaleta kinyaa!! Inatamkwa msaada kumbe ni mkopo tena wenye riba kupambana na ugonjwa hewa! Hii pesa ingeenda kjongeza kasi ya mradi wa reli standard gauge
 
Hakuna hela ya bure Duniani na haitakuja kuwepo.

Subiri Deni la taifa litakapokuja kutajwa mwakani ndiyo utaelewa.

Dhalimu alipandisha deni la taifa kwa 20t ndani ya miaka 5, yani 1/3 ya deni la taifa la 60t, la marais wengine wote watano. Halafu akawa anadanganya kuwa ni pesa za ndani.
 
Hakuna vya bure chini ya jua. Tulijua tu kwamba kipindi hiki tutaletewa misaada ya kila aina.
 
Ni sababu zipi zinazofanya Kilimanjaro kuwe na kiasi kikubwa cha maambukizi ya corona hadi kupelekea hali hiyo?
Kwa sasa kila mahali hali ni mbaya. Jamaa yangu toka Nzega anasema, kwenye mtaa wao na unaofuata, kila nyumba ina mgonjwa au wagonjwa. Kuna siku kutoka kwenye hiyo mitaa 2 wamezika watu 6. Wote tatizo la corona.

Kilimanjaro vifo vya corona vinasikika sana kwa sababu ya awareness. Huku kungine watu wanapoteza maisha bila ya taarifa kusikika popote.
 
Kaka alizikataa kabisa.. Dada akubali, sijui ni mkopo au ni msaada?
Kaka alizichukua, akawadanganya watu kuwa uchaguzi tunagharamia wenyewe, kumbe anatumia pesa ya msaada ya kupambana na corona.
 
Kwa sasa kila mahali hali ni mbaya. Jamaa yangu toka Nzega anasema, kwenye mtaa wao na unaofuata, kila nyumba ina mgonjwa au wagonjwa. Kuna siku kutoka kwenye hiyo mitaa 2 wamezika watu 6. Wote tatizo la corona.

Kilimanjaro vifo vya corona vinasikika sana kwa sababu ya awareness. Huku kungine watu wanapoteza maisha bila ya taarifa kusikika popote.
Ndio maana nikauliza kuhusu huko Kilimanjaro maana ndio panazungumziwa sana hadi huku kwengine tunasikia kuwa huko hali mbaya wakati ilitakiwa kote tusikie kama tunavyosikia huko Kilimanjaro.
 
Kwa sasa kila mahali hali ni mbaya. Jamaa yangu toka Nzega anasema, kwenye mtaa wao na unaofuata, kila nyumba ina mgonjwa au wagonjwa. Kuna siku kutoka kwenye hiyo mitaa 2 wamezika watu 6. Wote tatizo la corona.

Kilimanjaro vifo vya corona vinasikika sana kwa sababu ya awareness. Huku kungine watu wanapoteza maisha bila ya taarifa kusikika popote.
Mkuu unaupotosuaji uliopindukia ingekuwa sheria inaruhusu kukushitaki kwa kwel ungeshitakiwa kabisa... Hayo maeneo unayosema c kwel usilete panic isiyokuwa na kichwa Wala kiwiliwili... Kama umetumwa sawa
 
Kaka alizichukua, akawadanganya watu kuwa uchaguzi tunagharamia wenyewe, kumbe anatumia pesa ya msaada ya kupambana na corona.
Aaaaaa wapi my frnd. Wangesema, awana la mwathini wangetuhumbua tu
 
Kwa sasa kila mahali hali ni mbaya. Jamaa yangu toka Nzega anasema, kwenye mtaa wao na unaofuata, kila nyumba ina mgonjwa au wagonjwa. Kuna siku kutoka kwenye hiyo mitaa 2 wamezika watu 6. Wote tatizo la corona.

Kilimanjaro vifo vya corona vinasikika sana kwa sababu ya awareness. Huku kungine watu wanapoteza maisha bila ya taarifa kusikika popote.
Mkuu unamaanisha Tanzania nzima awareness ipo Kilimanjaro tu?

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Malengo ya global Fund inaonekana yameongeza ,labda wameweka addendum ya Uviko-19 au sheria ya kuanzishwa mfuko huo, ilikuwa na kipengele Cha kuongeza magonjwa mengine.Pongezi zao wafadhili wetu kwa msaada
 
Kwa sasa kila mahali hali ni mbaya. Jamaa yangu toka Nzega anasema, kwenye mtaa wao na unaofuata, kila nyumba ina mgonjwa au wagonjwa. Kuna siku kutoka kwenye hiyo mitaa 2 wamezika watu 6. Wote tatizo la corona.

Kilimanjaro vifo vya corona vinasikika sana kwa sababu ya awareness. Huku kungine watu wanapoteza maisha bila ya taarifa kusikika popote.
Suala la watu wa huko Kilimanjaro wanaoishi mikoa mengine kuwa na utaratibu wa kusafirisha maiti kutoka hiyo mikoa mengine na kwenda kuzika ndugu zao huko Kilimanjaro unalizungunziaje hilo lina nafasi yeyote kwenye kuonekana wingi wa maziko huko?
 
Back
Top Bottom