Global Religous Scam: VATICAN VS MAKKA — kiwanda cha ujasusi na utapeli duniani

Global Religous Scam: VATICAN VS MAKKA — kiwanda cha ujasusi na utapeli duniani

Kama Ukiongelea kwa Iman ya Kiislam huwez elewa.

Mm nimetoa comment as neutral.

Sianzish Uzi. Ilapiga tu ww hesabu. Kuanzia Ishmael had Mohamed ni miaka mingap?.
Na Hakuna mtume aliwah kwenda pale.
Quran inasema Waarabu walikuwa na mitume wawili. Na wote hawakuwah kufuata Imani ya Ishmael. Mtume wa 4 ambaye ni Mohamed ndio akafuata .
Baada ya miaka 4000 hivi.

Tena kwa wahyi ambao hakuna mtu aliwah kumuona au kumsikia Jibri anaongea na mtume. Hata mke wake na wake zake wote. Hakuna .
Hamna ushahidi wa kuona au kusikia kuhusu wahyi.

Kasome tena Quran.
Anyway tusiharibu uzi wa watu.
hebu taja hao mitume wa waarabu ambao hawakufata millat ibrahim?
 
hebu taja hao mitume wa waarabu ambao hawakufata millat ibrahim?

Hud, Salih na Shaibu.
Walikuwepo Miaka 2000 kabla ya Mohamed.
Al kaaba ilikuwa ipo.
Hawakuwa mbali sana na waarabu wa Makka.
Quran inasema ni mitume ya kiarabu.
Je Kwanini hawakuenda kuhiji?.
 
Hud, Salih na Shaibu.
Walikuwepo Miaka 2000 kabla ya Mohamed.
Al kaaba ilikuwa ipo.
Hawakuwa mbali sana na waarabu wa Makka.
Quran inasema ni mitume ya kiarabu.
Je Kwanini hawakuenda kuhiji?.
hao ni mitume waliotajwa ndani ya Quran ila ALLAH anasema kuna mitume mingi haikuitaja...Je unaijua yote? Mtume Muhammad (pbuh) anasema mitume wa Mungu wapo 124,000..Je unawajua wote hao?
 
hao ni mitume waliotajwa ndani ya Quran ila ALLAH anasema kuna mitume mingi haikuitaja...Je unaijua yote? Mtume Muhammad (pbuh) anasema mitume wa Mungu wapo 124,000..Je unawajua wote hao?

Irrelevant.

Tunaongelea mitume na hija ya makka.

Hebu nitajie mitume wa kwenye Quran. Walio baada ya Ishamel na kabla ya Mohamed (katkat hapo inakadiliwa miaka 4000) ambao walienda Hiji pale kwenye jiwe jeusi.

Na kama Hao mitume hawajaandikwa na Quran, watakuwa wameandikwa wap? Biblia? Au wap?
Uwataje tu.

Utoe pia na maelezo nje ya Quran kuwa Makka ilikuwa inasifika kwa biashara gan.
 
- Kwamba Vatican wanajua aliens na wanafanya siri?.
Hiyo ni speculation tu isiyo na ushahidi thabiti.

- Pia Kibra sio mstar ulionyooka . Ni ishara ya Location na wanaangalia jua (linapoamka na kuzama) + Na uelekeo wa sehem unaposali vs Makka.
Mfano Africa Mashariki na kusini mwa Jangwa la sahara muelekeo wa Kibra ni NE (Noth East). Na mabara mengne inatofautiana maana Point of Reference ni pale Makka. (Sio lazima upatie exactly point). Lakin sio Uko Tanzania alaf unasema Kibra ni uelekeo wa South Africa (south).

Binafsi sioni Shida kwenye hilo.
(Japo mm ni mkristo. Ila hii natetea kwa hoja ya science).

- Vatican kuwa na ushawishi hasa kwenye kuanzisha Shule na kukuza Elimu za Africa havina uhusiano wa moja kwa moja na siasa wala ujasusi.
Makund ya kikatoliki kama Jesuits , White Fathers, Holy Ghost Fathers yalilenda kueneza Dini pamoja na Elimu kwa waAfrica na sio ujasusi au uwekezaji.

Cc
Shem Seran
Brother Mimi nina asili ukatoliki , najua vitu vingi na vikubwa kuhusu Vatican,Vatican wana siri ambazo madhehebu mengine ya Kikristo hawana na hawajui.
Kumbuka wao ndio dini na dini ndio wao.
Unamjua Black Pope? unajua na kazi zake?
 
Back
Top Bottom