Kijakazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 7,093
- 10,469
Umeme unakatwa kuokoa mazingira, wanawasha Diesel Generators 24/7, hakuna kitu kinachangia CO2 emissions kwa kiasi kikubwa kama Diesel, umeme wa Tanzania kiasi kikubwa unatokana na vyanzo vya Maji, hivyo ni renewable energy.
Acheni kutesa watu bila ya sababu, hata Wazungu wenyewe na Wachina ambao ndiyo World biggest polluters hawako tayari kutesa Wananchi wao kiasi hiki kisa kuokoa Dunia, huko Misri hata wameshindwa kukubaliana na Mkutano umeisha, sisi ndiyo tunacheck every box kuridhisha Wazungu ambao wamekataa kutesa wananchi wao sababu tu ya global warming.
Mimi naamini ipo siku watu watalipia hii dhambi.
Fungulieni Maji na washeni Umeme, sisi hatujachangia chochote kwenye Global warming, hatustahili kuteseka, fungulieni mambomba maji yatoke, Mkutano umeshaisha na Wazungu wamekataa kubeba mzigo wa Global warming!