Kama umetamani kuwa na ngozi yenye mng'ao unaweza kutumia huu mchanganyiko
Changanya
Manjano 1/2 kijiko kidogo
Maziwa kijiko 1 kidogo
Asali 1/2 kijiko kidogo
Pakaa mchanganyiko kwenye uso na shingoni. Wacha ikauke kwa dakika 20 kisha uoshe kwa maji safi.
Hapana hujaelewa, ngozi uwa inakuwa exposed sana na external factors. Inaweza kuwa inapata shuruba mbalimbali za hali ya hewa na mazingira au changamoto za kibailojia na kupoteza mvuto.
Kwa kutumia viungo vya asili unaweza kufanya ngozi yako kuwaka naturally na kuwa na muonekano wa afya wenye mng'ao wa asili.
Mwambie mamsap ajaribu