Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Habari zenu wakuu,
Huwa nasumbuliwa sana na usingizi (usingizi kuja mapema) hasa wakati ninapokuwa napiga kitabu usiku(Ni mwanachuo)..
So naomba kufahamishwa kuwa nikitumia glucose inaweza saidia hili tatizo au nitumie dawa gani/njia gani kuepukana na hii hali..