Gnako umeua kwenye kiitikio cha quality time

Kuhusu video ni director ndio anaweza kufanya iwe nzuri au mbaya so wakuangalia ni director na sio msanii. Na sidhani kama unaweza kusema Hascana kafail maana yy ndo kaidirect
 
Kuhusu video ni director ndio anaweza kufanya iwe nzuri au mbaya so wakuangalia ni director na sio msanii. Na sidhani kama unaweza kusema Hascana kafail maana yy ndo kaidirect
Hapana hanscana hana tatizo ila story ya video ilivyo!
Wapo tu wanacheza cheza huwezi kupata ile mtiririko mzuri wa stori
 
check G nako - nuru.. Sheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeegiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiidaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Kumbe Jamaa mzima kiasi kile!
Sasa muziki gani huu anaoimba sasa hivi?
Nilijua mimi tu ndo simuelewi mshkaji. Anazingua kweli na hii style anayofanya sasa hivi.
 
Chorus nzur wimbo mbovu,nick kaanza kuzngua kaflow kama swit mangi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…