Gnako umeua kwenye kiitikio cha quality time

Gnako umeua kwenye kiitikio cha quality time

Quality time ni nzuri ila Jamaa nick wa pili huwa anafeli video!
Angalia sweet mangi bonge la ngoma video chenga!
Gnako amefanya poa sana ingawa Jamaa hata kwenye verse yuko njema kama ile ngoma yake ya Arosto nilimuelewa kinoma, ile chorus sijui aliimba nani!
Kuhusu video ni director ndio anaweza kufanya iwe nzuri au mbaya so wakuangalia ni director na sio msanii. Na sidhani kama unaweza kusema Hascana kafail maana yy ndo kaidirect
 
Kuhusu video ni director ndio anaweza kufanya iwe nzuri au mbaya so wakuangalia ni director na sio msanii. Na sidhani kama unaweza kusema Hascana kafail maana yy ndo kaidirect
Hapana hanscana hana tatizo ila story ya video ilivyo!
Wapo tu wanacheza cheza huwezi kupata ile mtiririko mzuri wa stori
 
check G nako - nuru.. Sheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeegiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiidaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Chorus nzur wimbo mbovu,nick kaanza kuzngua kaflow kama swit mangi
 
Back
Top Bottom