Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Wale Makolo mnaolalamika kuwa goal mlilofungwa kwa kichwa na Kwame Peprah wa Orlando kuwa ni offside, lile goal limechaguliwa kuwa goal bora la wiki. Sasa sijui mtaongea nini tena kujitetea.