USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,904
- 26,184
Ilianzia njia nne kuelekea Madale bar zimepangana kila nyumba mbele bar na zote zimejaa magari ya maana na watoto wazuri huku mziki mkubwa wa bendi na vijana na nyingi hukesha aka night club.
Ukianzia njie nne kulekea Masanja nako ni vile vile hata ukiingia ndani ndani kidogo hali si shwari kabisa watu hawalali hasa weekend.
Pita Goba center elekea Makongo juu ndio utashangaa mambo mazito huko.
Wale waliokuwa wanaishi Sinza, Udsm, Makumbusho, Mwenge na Tabata wengi wamehamia Goba ili wajipuzishe lakini wameishia kurudia maisha yao halisi, pombe, madanguro, mashangazi na mikesha ya wenye vipato hasa wengi ni watumishi na wafanyabishara wa kazi.
Goba inakoelekea siko.