Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa. Kule ambako bei ya kiwanja inafika hadi sh. bilioni moja. Inawezekana kabisa. Kwani wanaoishi huko si ni binadamu kama sisi Bwana?Jaribuni obey
Hovyo hovyo, zero planning.Hakuna mitaaa kabisa 😄
Mipango miji wamefeli,wakazi wanaojenga nao wanafeli
Ova
mwaka 2001 goba nilikuwa nalima mahindiShida kubwa ni milima na mabonde kila mtaa, tambarare adimu sana huko, shida hii pia ipo Kimara
hamia mkoa wa pwani kibaha Dar ishakuwa over populated.Sasa sisi tusiopenda vurumai za mitaani, unatushauri tuhamie/tukajenge wapi kwenye utulivu hapa Dasalama?
Jenga kibaha, kama una gari hata kama kazini ni dar ni easy tuSasa sisi tusiopenda vurumai za mitaani, unatushauri tuhamie/tukajenge wapi kwenye utulivu hapa Dasalama?
Noma sana!Jenga kibaha, kama una gari hata kama kazini ni dar ni easy tu
Njoosha maelezoni vizuri pia, ukienda goba unapata vyote GoBa,
Girl or Baby. ni wewe tu na PE$A yako.
Miaka ya 90 ilikuwa ukitoka Segerea tu hapo mbele Kinyerezi mapori unaona kama umeingia Kisarawe.Huko nasikia kulishaa ndugu. Hata ukibahatika kupata, nasikia bei zake zimechangamka hasa! Tutaendelea kujaribu. Atafutaye hachoki. Penye nia pana njia. Napendelea sana sehemu zenye utulivu.
Sasa sisi tusiopenda vurumai za mitaani, unatushauri tuhamie/tukajenge wapi kwenye utulivu hapa Dasalama?
Off course bei zake zimechangamka sana ila kwa mwenyeji bei iliyopoa unaweza kupata atleast ila aidha pawe ndani kidogoHuko nasikia kulishajaa ndugu. Hata ukibahatika kupata, nasikia bei zake zimechangamka hasa! Tutaendelea kujaribu. Atafutaye hachoki. Penye nia pana njia. Napendelea sana sehemu zenye utulivu.
boss umeongea kwa kumaanisha sana, nini cha kufanya sasa. what's ur opinionNchi ya kipumbavu sana hii.
Hakuna mipango miji hii nchi kila mtu anajifanyia apendacho. Wewe unajenga nyumba in a residential area mwingine anajenga frame pembeni yako mwingine anaweka bar hapo hapo, mwingine anaweka sheli hapo hapo kila kitu ni hovyo.
Nchi ya kipumbavu sana hii.
Kweli kwanza usafiri kuja mpaka mbezi kisha to mjini ni fasta. Bora kibaha hukohamia mkoa wa pwani kibaha Dar ishakuwa over populated.