Goba soon itakuwa kama Sinza na Tabata

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
Ilianzia njia nne kuelekea Madale bar zimepangana kila nyumba mbele bar na zote zimejaa magari ya maana na watoto wazuri huku mziki mkubwa wa bendi na vijana na nyingi hukesha aka night club.

Ukianzia njie nne kulekea Masanja nako ni vile vile hata ukiingia ndani ndani kidogo hali si shwari kabisa watu hawalali hasa weekend.

Pita Goba center elekea Makongo juu ndio utashangaa mambo mazito huko.

Wale waliokuwa wanaishi Sinza, Udsm, Makumbusho, Mwenge na Tabata wengi wamehamia Goba ili wajipuzishe lakini wameishia kurudia maisha yao halisi, pombe, madanguro, mashangazi na mikesha ya wenye vipato hasa wengi ni watumishi na wafanyabishara wa kazi.

Goba inakoelekea siko.

USSR
 
Shida kubwa ni milima na mabonde kila mtaa, tambarare adimu sana huko, shida hii pia ipo Kimara
 
Nchi ya kipumbavu sana hii.

Hakuna mipango miji hii nchi kila mtu anajifanyia apendacho. Wewe unajenga nyumba in a residential area mwingine anajenga frame pembeni yako mwingine anaweka bar hapo hapo, mwingine anaweka sheli hapo hapo kila kitu ni hovyo.

Nchi ya kipumbavu sana hii.
 
Tayari panafanana ni uamuzi tu pa kwenda.. Kumekucha sana
 
Tayari panafanana ni uamuzi tu pa kwenda.. Kumekucha sana
 
Jasiri haachi asili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…