Goba soon itakuwa kama Sinza na Tabata

Goba ni holkywood,goba pako vizuri sana ile nandhari yake ni nzuri sana
 
Barabara zipi au maeneo gani yasiyokuwa na bar nyinginyingi, madanguro na manight club? Maana maeneo hayo ndo afadhari kuishi kifamilia..naonaga kimara kimara, kinyerezi nilikuwa nadhani na Goba huko
 
Huko nasikia kulishaa ndugu. Hata ukibahatika kupata, nasikia bei zake zimechangamka hasa! Tutaendelea kujaribu. Atafutaye hachoki. Penye nia pana njia. Napendelea sana sehemu zenye utulivu.
Miaka ya 90 ilikuwa ukitoka Segerea tu hapo mbele Kinyerezi mapori unaona kama umeingia Kisarawe.
 
Tanzania yote imeshakuwa sodoma na gomora inabidi Yale mahubiri ya tubuni Yesu yu karibu yashamiri na wenzetu waislam warudishe Yale mawahidha haya mahubiri ya kuchekesha watu yanatosha unahubiri huku watu wanavunjika mbavu wakati mtaani tigo zonafumuliwa kama watu hawana akili nzuru ebo.
 
Kuna sehemu moja iko bado tulivu sana, inaitwa Mapinga uelekeo wa njia ya Bagamoyo, mbele kidogo ya kiwanda cha Hill Water, lakini kama una uwezo wa kupata hicho kiwanja chenyewe.
 
Huko nasikia kulishajaa ndugu. Hata ukibahatika kupata, nasikia bei zake zimechangamka hasa! Tutaendelea kujaribu. Atafutaye hachoki. Penye nia pana njia. Napendelea sana sehemu zenye utulivu.
Off course bei zake zimechangamka sana ila kwa mwenyeji bei iliyopoa unaweza kupata atleast ila aidha pawe ndani kidogo
 
boss umeongea kwa kumaanisha sana, nini cha kufanya sasa. what's ur opinion
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…