Hapo unatembea kwa mguu au?Mmmh hapo goba kukatiza makongo juu wee....kipande kirefu hataree mpaka uifikie survey ni umechoka na bado hapo hujakutana na jam[emoji848]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Na gari mkuu...mguu tena?[emoji849][emoji849]Hapo unatembea kwa mguu au?
Tudokeze bei basi ya 30*30Goba kubwa, kuna mtaa unaitwa muungano, yupo jamaa amegawa shamba lake 30x30 unapata, pesa uwe nayo. Ni pm kwa maelezo zaidi. Kama huyajui maeneo hayo, neñda ka-sarvey kwanza. We uliza serikali ya mtaa wa muungano Goba ipo wapi. Nenda maeneo yale. Ukipenda sasa ni mp kwa maelezo zaidi. Umeme upo, mabomba ya maji Dawasco yapo mita chache kutoka site.
Kabisa eti 20*20 mil 20????[emoji25]Dar viwanja bei ghali kuliko Texas
Jamaa kabana sasa amepima 20*20. Hii ni baada ya mfumo wa maji kusambazwa mtaani. Anatoa kwa mil20 bila dalali, kuna mtu alikuja na 15Tudokeze bei basi ya 30*30
Wewe unapenda sana Beach sasa Goba mpk Bichi na Kigambon mpk Bichi
Wapi jiran?
Unalinganisha Goba na kigamboni? Kigamboni hii isingekuwepo bahari ingekuwa ni sehemu ya mtaa wa postaMsaada wa kimawazo
Hivi kati ya Goba na Kigamboni, wapi pazuri kujenga na kuishi.
Naomba ushauri wapi kuna maeneo mazuri.
1. Bei za viwanja
2. Huduma za kijamii
3. Usalama
4. Wapi ni potential
5. Na mengineyo
Utofauti upoje ndo nataka kujua, buget ya plot sio issue sana
..
Natanguliza shukrani[emoji120]
Texas unapata hekari zakutosha tu kwa hiyo 8000dollarsKabisa eti 20*20 mil 20????[emoji25]
Kama mtu unaishi goba tena ya uswazi halaf unafanya kazi/shughuli zako posta aisee ni kipengele ila let say unaishi mji mwema au kibugumo kigamboni then ofisi posta dah utaenjoy mpak basiMmmh hapo goba kukatiza makongo juu wee....kipande kirefu hataree mpaka uifikie survey ni umechoka na bado hapo hujakutana na jam[emoji848]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Unalipia kwenda kwako 🤣Goba ipo vizuri, Kigamboni sipendi ile tozo pale darajani
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unalipia kwenda kwako [emoji1787]
Njoo wewe....njoo pm
Let them graduate with A's not AIDS!....Savannah mbili tatu unajibebea mrembo
Humu watu wengi ni wakazi wa GobaMsaada wa kimawazo
Hivi kati ya Goba na Kigamboni, wapi pazuri kujenga na kuishi.
Naomba ushauri wapi kuna maeneo mazuri.
1. Bei za viwanja
2. Huduma za kijamii
3. Usalama
4. Wapi ni potential
5. Na mengineyo
Utofauti upoje ndo nataka kujua, buget ya plot sio issue sana
..
Natanguliza shukrani[emoji120]