The ice breaker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2023
- 880
- 1,985
OgeleaGoba ipo vizuri, Kigamboni sipendi ile tozo pale darajani
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OgeleaGoba ipo vizuri, Kigamboni sipendi ile tozo pale darajani
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Mweee wanavyopenda starehe wacha tuwaambukize ngoma tuuLet the graduate with A's not AIDS!....
Sio wapashushe thamani wao ndio hawana thamani yaani mwanaume unashindwa kulipa hela ya daraja au hela ya kivuko dah inasikitisha sana. Watu wengi wanaogopa gharama ila ukipiga hesabu vizuri bado kigamboni ni sehemu nzuri kwa watu jasiri.Kigamboni bor zaidi ...changamoto pekee inayofanya watu wapashushe thamani ni namna ya kufika kigamboni ni either kivuko,darajani au uzunguke njia ya kijichi au kongowe
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣 🤣 Eti kiluvya HillsKiluvya Hills.
The next 'Goba version'
Hamna sehemu iliopo mbali (inategemea wewe unatokea wapi) Sasa wewe wa goba unakuja posta namimi wa mjimwema naenda post nani yupo mbali? Mimi navuka maji tu nipo posta wewe mpaka ufike posta ni au kariakoo ni mbali sanaKigamboni kumekaa kushoto sana
Kwa mishe mishe za mjini goba Ni hub nzur Sana ya kua connected na harakati
[emoji23][emoji23][emoji23] hicho kiwanja Cha ukubwa huo unapata Kwa M1 ni kigamboni ipi hiyo kinapatikana maana Mimi sijawahi kusikiaMkuu acha hasira!!!
Hakuna mtu alikulazimisha ukanunue kiwanja cha laki tatu Kigamboni ni wewe ulipenda mwenyewe au sijui ndo mfuko wako ulivyokuruhusu mimi sijui,unaishije sehemu lazima uishi kwa machale?ikifika 00:00 usiku kama hukuvuka wewe jihesabie umelala mjini au uzungukie Mbagala shukuru sasa hivi kuna daraja.
NB;kila mtu anaishi kwa uwezo wake Goba 20x20 12mill hujainua nyumba hujasawazisha kiwanja Kigamboni 50x40 unapata kwa 1mill tambarare mchanga hapo hapo so unaweza kuona tofauti ya watu wake.