God Created Life...... Life existence is an intentional act by God

God Created Life...... Life existence is an intentional act by God

Chukua DNA kwa kichina then tumia hizo code au kwa kirusi binafsi sijaona logic yoyote hapo katika ulichoandika

Sent using Jamii Forums mobile app

Unaposema kwa kichina au kirusi jua kwamba nao wana alphabets zao kwa hyo hata numerology au gematria methods zao zinakuwa tofauti na ile cryptonumerology ya kiingereza.

Warusi wana alphabets zaid ya 30, kwa hyo nenda kajifunze gematria yao ndo uijue ndo uje na mjadala wa kueleweka
 
Ni yaleyale

Kumbe unataka kutuaminisha kwamba kuna Mungu Muumba wa yote sio? Muumba wa yanayoonekana na yasiyoonekana.

Oky, kama hutojali tunaomba sifa zake na namna ya kumwendea

Ukitumia common sense ipasavyo unaweza kufika kwake mkuu, haina haja ya mahubiri ya kibinaadamu

Sifa zake ni too universal, sio esoteric kama unavotaka ziwe.
 
Ukitumia common sense ipasavyo unaweza kufika kwake mkuu, haina haja ya mahubiri ya kibinaadamu

Sifa zake ni too universal, sio esoteric kama unavotaka ziwe.
Kwa kuona, kupumua, kusikia, kuhisi au kuonja?

Nahitaji kupeleka mahitaji yangu
 
Back
Top Bottom