God existed before time and He created time

Unajua hata wewe unaweza kujiita mungu kama walivyofanya akina Beyonce na wengineo,mimi nafikiri tungejiuliza hasa ni nini maana ya Mungu?
Nilitegemea niliyemnukuu anijibu swali hili lakini kakimbia, hapa ndipo watu kama sisi tunapokuwa na mashaka na neno Mungu, tunaamini kuna one highest power ambayo tunaiita the creator,huyu muumba hana intermediaries wa kutuma salamu zake kwa watu.

Mungu ni concept iliyotengenezwa na watu, ukiangalia almost kila ethnic group wana Mungu wao ambaye anatofautiana na group jingine....
 
Yap,nimekupata Mkuu
 
Kwa iyo wewe una amini kuwa Mungu ayupo?

Au unajua kuwa hayupo?
 
"Mungu ni concept"

Kwanini awe ni concept?
 
"mungu ni concept"

Kwanini awe ni concept?
Kwenye biblia na quran Mungu amekuwa personalized, ana mikono na miguu, anamiliki vitu, ana tanurula moto na sehemu ya starehe yenye mito y asali, may be nimelitumia neno concept sehemu ambayo si yake lakini nilikuwa nalenga kusema kuwa vitabu vinavyohusu Mungu vimemu-individualize
 
Kwa uchache tu wa maelezo yako umeonesha wazi kuwa unachokiamini ndio kimebuniwa tu na watu,bora watu wa dini wanadai wanayoyaeleza ni kutoka kwa huyo creator ila wewe umekaa na kubuni tu kuna creator na kwamba hakuna tunaloweza kulijua kuhusu huyo creator.

Unafikiri hiyo imani yako utaweza kuitetea na nini ili tuamini kweli kuna creator na si vinginevyo?
 
 
wapi nimekwambia uamini! hebu nikupe shule kidogo, mimi naamini uwepo wa supernatural power/divine intelligent (which i believe created everything and i do believe this creator is just a spirit) siwezi kuprove existence ya hiyo spirit, it is just my own thinking wao, probably na wewe wanaoamini uwepo wa Mungu anayezungumza na watu wanahitaji kutupa ushahidi wa huyo Mungu kuwa ameongea nao na kuwatuma kuwaeleza binadamu ujumbe flani.

I do not have any burden of proof, Mungu wanaomuelezea kwenye vitabu vyao/vyenu ni kiumbe chenye tanuri la moto, ana palace lenye kila raha.... soma vizuri uelewe nilichoandika hapa ili uje na hoja mpya ambayo nitajibu
 
Mkuu
Hiyo supernature power,umeijuaje?!
au na wewe umewahi kuiona?!

nataraji majibu ya kisomi Chief
 
Kwa upande wangu, Sisi Binaadam, tuna udhaifu mkubwa sana, katika kupambana na nguvu tofauti
Supernature tuliyokuwa nayo,ni ndogo sana kudiriki yaliyomengi na wangwa wa Dunia ndio maana, macho yetu, hayana uwezo wa kuona kila kitu, mpaka viwepo visaidizi, na hata hivyo visaidizi,vina udhaifu mkubwa sana wa kutokuona meeengi
Dunia kila siku inakuwa, na kuthibitisha hili

Kwa mantiki hii, Haifai kupinga kabisa uwepo wa Mungu
kwa udhaifu mkubwa tulionao
 
mmh aya sasa
 
Mkuu
Hiyo supernature power,umeijuaje?!
au na wewe umewahi kuiona?!

nataraji majibu ya kisomi Chief
it is just my own feeling/thinking
siwezi kuprove,naweza kuwa sipo sahihi
lakini ukiniambia kuna mtu juu mawingu ana tanuru la moto la kuchoma watu na mito ya maziwa na pombe halafu amechagua baadhi ya watu wa kuongea nao hapo itabidi uprove unachokisema
 
Hakuna nilipokwambia uprove chochte ila nimekuuliza kama unaweza kuitetea hiyo imani yako,ila ajabu wewe unataka wenzako waprove wanachoamini ila wewe hayo unayoyaeleza na kuyaamini ndio hupaswi kuprove.

Ningekuelewa kama nawe pia usingenyooshea vidole imani za wengine na kutaka prove lakini sio wewe ujiamulie kutunga kwambao kuna supernatural power na ukaamua kuamini hivyo na utake ibak hivyo ila wenzio ndio utake waprove wanachoamini.
 
Hata wao nao wanaamini pia kama unavyoamini wewe,sasa iweje wakuthibitishie wanaachoamini wao hali ya kuwa hata wewe hauwezi kuwathibitishia unachoamini?
 
Sio kweli mkuu Mungu afanani na chochote katika viumbe huu ndio msimamo wa QURAN, labda huko kwenye biblia wenyewe watakujibu
 
Mzee we mgumu sana kuelewa kuamini uwepo wa muumba ni kitu kimoja lakini kusema amekutuma kuandika kitu flani ni jambo jingine kuamini ni kitu kimoja lakini kusema amekuambia kitu flani jambo jingine
nachokataa mimi ni kwamba eti kuna mtu anasema kaongea na huyo mungu unaposema umeongea naye inabidi uprove pasipo shaka kuwa umeongea na ye kuamini yupo au hayupo haina tatizo tatizo ni kutuaminisha kuna watu wameongea naye.

Lakini hakuna ushahidi wowote nachoamini mimi ni simple,sijawahi kusema nimeongea na creator,siku nikisema hivyo itabidi nitoe ushahidi wa kuongea naye vitabu vya dini vimemdescribe mungu wao kama mtu mwenye kumiliki tanuru la moto.

Mfano mohamed anasema alikuwa anaongea na mungu wake anayeitwa allah mapangoni akiwa peke yake,how the fvck you believe that garbage!!!!
kama hujaelewa hapa sijui naweza kukuelewesha vipi
 
Hata wao nao wanaamini pia kama unavyoamini wewe,sasa iweje wakuthibitishie wanaachoamini wao hali ya kuwa hata wewe hauwezi kuwathibitishia unachoamini?
Hebu niandike katika lugha ambayo mtu kama wewe utanielewa unless umeamua kuleta ubishi wa kijinga;
ukiniambia unaamini yupo allah ambaye ni mungu wako sitakuwa na tatizo,it is just imani
lakini ukiniambia umeongea na allah hiyo sio imani tena,ni kitendo...sasa unachotakiwa ni kuprove kwangu kuwa umeongea naye na amekutuma uniambie unayoniambia..is that too old for your brain to grasp?!!!!
 

Nakuja .....
 


Hawa wakana mungu walikuwepo zamani,ila hawa tulionao ni wafuasi wa wakana mungu,hii imeshakuwa imani,imani amnayo haikujengeka katika misingi ya kielimu.

Imani iliyojengeka juu ya ujinga,huwezi kupata faida kwayo zaidi ya wafuasi wake kubisha,kupoteza muda na kuzozana.

Wakana mungu,kama ulivyosema hawakuanza leo,na huu ni muendelezo tu,wa watu waliopo gizani ......

Narudi ....
 
Mleta mada umenivuruga kidogo. Mimi naamini kuwa Mungu yupo, lakini unaposema alikuwepo kabla ya muda na yeye ndiye aliyetengeneza muda, ni vipi tukio la yeye kuwepo litokee nje ya muda. Hebu nifafanulie hapo.

Hapa nasema chochote kuhusu hili.

Mola muumba alikuwepo kabla ya chochote kuwepo kabla yake na atakuwep kabla ya chochote kuwepo baada yake.

Suala la muda nilishawahi kujadiliana na mtu mmoja katika jukwaa hili lakini upingaji wake ulikuwa wakitoto na kucekesha sana.

Mola wetu aliumba muda,na Mola wetu ameapa sana kwa muda. Na akatuwekea hali na viumbe wengine ili kuutambua muda,kudhibiti miaka na kudhibiti mahesabu.

Kwa ufupi Mola hajatanguliwa na wakati .....

Nipo ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…