God existed before time and He created time



Halafu tukiwaambia mna matatizo ya akili,mnalalama.

Hivi ushawahi kujiuliza kwanini watu wanamuelezea Mola kivyao hali ya kuwa wanasema wana muamini Mungu mmoja ?
 
Halafu tukiwaambia mna matatizo ya akili,mnalalama.

Hivi ushawahi kujiuliza kwanini watu wanamuelezea Mola kivyao hali ya kuwa wanasema wana muamini Mungu mmoja ?
Hakuna Mungu mmoja
wa kikristo ni tofauti na wa kihindi
wa kiislamu ni tofauti na wakichina
 
hakuna mungu mmoja
wa kikristo ni tofauti na wa kihindi
wa kiislamu ni tofauti na wakichina


Hapa kuna hakika ya mambo yalivyo na kuna maoni ya watu. Ama kuhusu hakika ya mambo kwayo ndio ukweli ulivyo Mola muumba ni mmoja tu.
 
Hapa kuna hakika ya mambo yalivyo na kuna maoni ya watu. Ama kuhusu hakika ya mambo kwayo ndio ukweli ulivyo Mola muumba ni mmoja tu.
Mola anaweza kuwa mmoja lakini miungu ipo mingi,mfano allah na yehova wako tofauti kabisa kuanzia paradiso hadi jehanamu zao
 
Unachosema ni kweli kabisa watu wa aina hyo lazima wawepo.
 
Ok let's say there's creator of universe,why you conclude he/she is God and not otherwise?


Yaan kipi hasa kilichoku convince kwamba huyo creator atakua ni Mungu tu na si mtu au kitu kingine?

Tuanzie hapa kwanza
 
Unajua wewe unachekesha sana nan alikuaminisha kuwa kuna creator ambaye ni spirit? ebu tuanzie hapo naona umahanyika tu
 
Wewe ndio sio muelewa,unachokiamini wewe ni tofauti na wanachoamini wenzako,wenzako wanaamini Mungu ila wewe hauamini Mungu unaamini tofauti na unasema Mungu ametungwa tu na watu,sasa wewe kama hauamini Mungu kuna haja gani ya kutaka kuthibitishiwa kitu kuhusiana na Mungu hali ya kuwa hauamini huyo Mungu?

Iwe kweli au sio kweli kuhusu kuongea na Mungu,wewe hilo suala linakushuglisha la nini hadi utake uthibitisho?
 
Labda tuna mitizamo tofauti juu ya hii dhana ya muda.

Kuna siku nilikaa na kufikiria kuhusu uwepo wa mwanadamu hapa duniani mpaka kifo chake na kuendelea. Nilijaribu kuweka nadharia hii katika mfumo wa kimahesabu ( NB. O level hesabu nilipata D) na katika kuunda equation za kiuongo na kweli ilibidi nitumbukize muda kwenye hiyo equation. Kitu nilichukuja kugundua baadaye ni kuwa: muda ni kitu ambacho hakina mwanzo na hakina mwisho, ni kipo tu.

Lakini muda huu pia hauwezi kuhesabika kama ni kitu kilichopo hadi kuwe na tukio. Lakini pia ili tukio litambuliwe ni lazima kuwe na ufahamu. Kwa hiyo ili tuseme kuna muda ni lazima tukio liwepo bila hivyo hakuna muda. Lakini pia ili tukio litambuliwe kuwa lilitokea katika katika eneo gani katika muda ni lazima kuwe na ufahamu bila ufahamu tunaweza sema hilo tukio halijawahi kuwapo kabisa.
 
Hapo ndipo palipo na tatizo,unaposema mtu akiamini Allah huna tatizo naye wakati huyo Allah kabla ya kuaminiwa kwanza ameelezewa na watu ambao wamepata maelezo hayo kutoka kwa Allah mwenyewe na si kwamba wamejitungia tu wenyewe ila wewe ajabu unasema huna tatizo mtu akiamini Allah!

Unapinga watu kuongea na Mungu ila unakubaliana na watu hao hao wanapotoa maelezo kuhusu Mungu!
 
Ahahahaha aaah, aiseee we jamaaa ilaa safi otherwise Naomba Mungu Akuoongooze huo msimamo wako hata ikujiee miujiza ya Aina ganii utasimama palepale.
 
hakuna mungu mmoja
wa kikristo ni tofauti na wa kihindi
wa kiislamu ni tofauti na wakichina
Kwahiyo na Creator yupo mmoja au creator wa waislamu ni tofauti na wakristo na wa wakristo tofauti na wasio na creator wako wewe?
 
Unajua wewe unachekesha sana nan alikuaminisha kuwa kuna creator ambaye ni spirit? ebu tuanzie hapo naona umahanyika tu
Kama unaamini sio spirit it's ok too sababu hata mimi sina uhakika, it is just a belief
 
Uthibitisho haupo,hautaweza kuwepo sababu it never happened, wewe naweza kutumia falsafa zote kukuelewesha lakini hutoelewa
 
Nitaongea na wewe kwa mara ya mwisho, mimi ninapoclaim nimeongea na rais trump hiyo sio imani,ni kitendo ambacho inabidi nikithibitishe kuwa niliongea nae bila shaka(recorded convo,whateva), ninapoamini yupo rais anaitwa trump, hiyo inaweza kuwa imani na hatuna tatizo nayo, tatizo utakapoanza kusema trump kanimbia msiwe mnakula burger...itakubidi uthibitishe kauli yako.

Kwaheri kama hujaelewa mfano huu wa darasa la pili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…