Mr George Francis
JF-Expert Member
- Jun 27, 2022
- 234
- 376
GOD IS THE MASTER PLANNER OF OUR LIVES.
[Mungu ndiye mtaalamu wa mipango ya maisha yetu]
Kama kijana au kama binadamu yeyote wa kawaida ni lazima kuna mipango fulani itakuwa umejiwekea kwenye maisha.
Mipango yako inaweza kuwa mizuri kwa ufahamu wako wa kawaida lakini upo uwezekano wa kutokutimia kwa mipango hiyo.
Haitimii sio kwasababu wewe ni mzembe sana na haupo makini katika kusimamia ndoto zako la hasha! Bali haitimii kwasababu Mungu hajatoa kibali cha mipango hiyo kuweza kutimia.
Ikiwa binadamu tunapanga mambo yetu, nae Mungu anapanga yakwake. Hivyo inawezekana kuwa mipango yako kuwa tofauti na mpango wa Mwenyezi Mungu katika maisha yako.
Ni kweli tunapaswa kuchekecha akili zetu sawasawa na kutumia nguvu zetu sawasawa. Kanuni ya Malengo + Juhudi + Maarifa hatuna budi kuifuata. Lakini Mungu ndiye mwenye kibali cha hayo yote kufanikiwa.
Tutimize wajibu wetu vizuri, kisha tuache mtaalamu wa mipango atimize alichopanga kwaajili yetu.
Tusitumie njia hatarishi kama vile kudhuru wengine au kutenda dhambi ili kupata tunayotaka.
Kilichopangwa na Mwenyezi Mungu kwaajili yako utakipa tu hata iweje ni lazima utakipata. Usijali kuhusu muda, utakipata tu. Mtaalamu wa mipango amepanga kila kitu hadi muda wa barikiwa kwako umepangwa.
Usiwe na wasiwasi au kutafuta mbinu za ziada mala utoe kafara, eti uibe ndio ufanikiwe, eti uuze mwili wako acha hizo mambo. Master planner wetu, mtaalamu wa mipango ameshaweka mipango yote sawa kwaajili yako.
Master planner wetu yupo vizuri na hajawahi kushindwa na wala hatoshindwa milele na milele.
Pamoja na magumu yote niliyo nayo leo hii na mapitio yote kuelekea ndoto zangu bado naamini kuwa GOD IS THE MASTER PLANNER OF MY LIFE.
Kama na wewe unaamini kuwa God is a master planner of your life na amepanga kila kitu kwaajili yako na sasa tuseme Amen.
It's me
Mr. George Francis
0713736006
I'm a Lawyer and LifeCoach.