God is the master planner of our lives

Thibitisha kwamba huyo Mungu yupo na kwamba habari za kuwapo kwake si hadithi za kutungwa na watu tu.
 
K
Kilichopangwa na Mwenyezi Mungu kwaajili yako utakipa tu hata iweje ni lazima utakipata. Usijali kuhusu muda, utakipata tu. Mtaalamu wa mipango amepanga kila kitu hadi muda wa barikiwa kwako umepangwa. [emoji1752]
KILA mmoja upewa kwa wakati wake.Thus kinachokuja kuwatoa watu kwenye maisha ni kile walichokidharau.
Wapo waliofukuzwa Kazi kumbe wamepigwa chura teke wakaja tokea kwenye kilimo au biashara na wakajuta kupoteza mda kwenye ajira.
 
Kabla ujazaliwa riziki yako huwa inatangulia kabla yako duniani.
 
mawazo ya mtoa mada ya kipuuzi na kivivu,kila mtu anatakiwa apange maisha yake,ukiwa mvivu utavuna uvivu wako.hilo swala la kupangwa na mungu halipo kwahiyo hadi yale mateja ni Mungu kayapangia.
 
Kilichopangwa na Mwenyezi Mungu kwaajili yako utakipa tu hata iweje ni lazima utakipata. Usijali kuhusu muda, utakipata tu. Mtaalamu wa mipango amepanga kila kitu hadi muda wa barikiwa kwako umepangwa. [emoji1752]
kwahiyo ni bora kulala tu
 
kw
Mungu anakupangia yaliyo mema tu, shetani baba wa uharibifu anakuharibu, mabaya, machafu na machukizo ndiyo unaanza kuyapenda zaidi na kuyafanya shetani akikuingia
kwahiyo Mungu anaweza kupanga lakini shetani akaja kuharibu Mipango yake.dah huyu Mungu mbona anatia mashaka
 
kw

kwahiyo Mungu anaweza kupanga lakini shetani akaja kuharibu Mipango yake.dah huyu Mungu mbona anatia mashaka
Shetani akiharibu Mungu anatengeneza tena. Rejea mfano wa Ayubu.


Pia soma hapa

Yeremia 18:4-6


[4]Na chombo kile, alichokuwa akikifinyanga, kilipoharibika mkononi mwake yule mfinyanzi, alikifanyiza tena kuwa chombo kingine, kama alivyoona vema yule mfinyanzi kukifanya.
And the vessel that he made of clay was marred in the hand of the potter: so he made it again another vessel, as seemed good to the potter to make it.
[5]Ndipo neno la BWANA likanijia, kusema,
Then the word of the LORD came to me, saying,
[6]Ee nyumba ya Israeli, je! Siwezi mimi kuwatendea ninyi vile vile kama mfinyanzi huyu alivyotenda? Asema BWANA. Angalieni, kama udongo ulivyo katika mkono wa mfinyanzi, ndivyo mlivyo ninyi katika mkono wangu, Ee nyumba ya Israeli.

O house of Israel, cannot I do with you as this potter? saith the LORD. Behold, as the clay is in the potter's hand, so are ye in mine hand, O house of Israel.
 
Be blessed Mr. You made my Day
 
yani anapanga halafu shetani akija akiharibu inabidi Mungu aanze upya tena.dah aisee huyu mungu kweli ana nguvu anazoimbiwa au watu wanaabudu kitu kingine kisichojielewa
 
There is no reason to prove. It depends with your beliefs
Kwa hiyo wewe ukiamini wewe ni Mungu utakuwa Mungu?

Does believing something make it true in reality?

If you believe you do not exist, does that make you cease to exist?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…