PreGE2025 Godbless Lema aachia kionjo cha wimbo wake mpya wa 'No reforms No Election' atakaouachia kesho March 25, 2025

PreGE2025 Godbless Lema aachia kionjo cha wimbo wake mpya wa 'No reforms No Election' atakaouachia kesho March 25, 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Sijapewa username bado

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,775
Reaction score
2,891
Mjumbewa kamati kuu Chadema Godbless Lema kupitia Ukurasa wake wa X ame sahre kionjo cha wimbo wa No reforms no election ambao ameshirikia na Hellen pamoja na Happyness. Rasmi utatoka March 25, 20225 (Jumanne)
 
Kibao muruwaa sana kitumwe kwenye account ya Mama Samia naye akaburudike.
 
Safi saana Lema, watautafuta mpira kwa tochi safari hiiii
 
Nampongeza Lema ingawa ni wimbo wa hovyo. Huo wimbo utazidi kuididimiza zaidi CHADEMA kwa sababu sio mahadhi ya kitanzania. Angeomba ushauri kabla ya kurekodi.
 
Nampongeza Lema ingawa ni wimbo wa hovyo. Huo wimbo utazidi kuididimiza zaidi CHADEMA kwa sababu sio mahadhi ya kitanzania. Angeomba ushauri kabla ya kurekodi.
Kwa user Id yako sitegemei Positive reply kwenye uzi kama huu....Endelea kupambania ndoa mkuu!
 
Back
Top Bottom