Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Hahaha atume na salamu kwa watu watatuKibao muruwaa sana kitumwe kwenye account ya Mama Samia naye akaburudike.
Gari sio bodi ni Injini atapata kiwewe kingine....Kibao muruwaa sana kitumwe kwenye account ya Mama Samia naye akaburudike.
Akikisikia hicho kibao lazima ataongeza piko laa sivyo zitakuwa nyeupe ghafla.Gari sio bodi bi Injini atapata kiwewe kingine....
Kwa user Id yako sitegemei Positive reply kwenye uzi kama huu....Endelea kupambania ndoa mkuu!Nampongeza Lema ingawa ni wimbo wa hovyo. Huo wimbo utazidi kuididimiza zaidi CHADEMA kwa sababu sio mahadhi ya kitanzania. Angeomba ushauri kabla ya kurekodi.