hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 13,628
- 20,992
Kipindi cha nyuma mlikuwa mnapata ruzuku hadi milioni 300 kwa mwezi, bado misaada ya vyama rafiki, Germany, mkaishia kutafutana na kugawana na vimada wenu kina Joyce Mukya,
Mkashindwa hata kununua kiwanja cha milioni 200, hekari za kutosha, mjenge Makao makuu na kumbi zenu
Leo mna mbunge mmoja ,ruzuku zimekata
Mnaanza kuwapangia watu kumbi zao,
Mlishindwa hata kuanzisha Gazeti la chama,redio ya chama ,hata za online
Ruzuku mkatafuna wachache ,
Ndio maana nasema TZ upinzani hakuna kuna wasakatonge
Waliokuwa wanajifanya wapinzani haswa wapiga kelele ,karibu wote wametanguliza matumbo yao
Kina Waitara, Mdee na kundi lake,n.k
Msigwa nae njaa imempiga anatafuta upenyo aende CCM ,
Chadema njaa ndio inawasumbua ,Kama kipind Cha Ruzuku million 300 mlishindwa kuanzisha hata online TV au kununua kiwanja hekari 1, msahau maisha