Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Upo wapi?Kwani CHADEMA hakuna mgawanyiko?
Haka kadogo kanazingua halafu akili ndogoWe nawe kampikie simba huko..!!
Hatutakubali udikteta wa aina yoyote kwenye nchi yetu uwe upinzani au chama tawala.Lisu na Lema madikteta uchwara
Unaelewa maana ya udikteta na democracy au unaropoka tu mkali?Hatutakubali udikteta wa aina yoyote kwenye nchi yetu uwe upinzani au chama tawala.
Wewe mwenye akili hapa ndio unaona umeandika sense?Mbona wewe unalazimisha kila mtu ampende diamond na zuchu humu? ,nyie vijana wa ccm huwa ni wajinga sana
Nitampikia na kumpakua mama yako mzazi.We nawe kampikie simba huko..!!
Wewe na nani?View attachment 3295937
Watanzania wote tumepigwa na butwaa hii tabia mbaya ya kidikteta inayoota mizizi kwenye chama cha Chadema.
Baada ya kuwafunga midomo wanachama wa Chadema wasitoe maoni wala mawazo mbadala kwa kutishia kuwafukuza, kuwapa majina mabaya na kuwanyamazisha.
Sasa tunaona kiongozi wa Chadema mpya godbless Lema akijaribu kunyamazisha vyombo vya habari visitoe habari kuhusu kinachoendelea chadema.
Dunia nzima inajua chadema imepasuka vipande vikubwa viwili na watu wanataka kusikia kinachoendela.
Tunakataa huu udikteta unaoendelea ndani ya Chadema na wanataka kuuleta mpaka kwenye uhuru wa vyombo vya habari.
Godbless Lema nakuonya acha huu udikteta wenu ambao mnataka kutuletea kwenda hii nchi.
Sioni ila wewe ni kama unalazimisha kila mtu awe chawa kama wewe ulivyo chawa wa zuchu bro🤔Wewe mwenye akili hapa ndio unaona umeandika sense?
Chama kimejaa udikteta mnataka kucontrol media hii hatuwezi ikubali.Sema akili yako ndiyo iliyopasuka vipande viwili, siyo CHADEMA.
CHADEMA yenye wananchama milioni 10, kukatokea kakikundi ka watu hamsini kakajitenga na mamilioni ya wanachama, kwa upeo wako mdogo, utaita hayo ni makundi mawili? Hii inadhihirisha ni kiasi gani tasnia ya habari ya Tanzania imejengwa na watu wenye uwezo duni sana wa akili kiasi cha kushindwa kuchambua mambo kwa weledi!!
CHADEMA WANAONGOZWA NA MADIKTETA .View attachment 3295937
Watanzania wote tumepigwa na butwaa hii tabia mbaya ya kidikteta inayoota mizizi kwenye chama cha Chadema.
Baada ya kuwafunga midomo wanachama wa Chadema wasitoe maoni wala mawazo mbadala kwa kutishia kuwafukuza, kuwapa majina mabaya na kuwanyamazisha.
Sasa tunaona kiongozi wa Chadema mpya godbless Lema akijaribu kunyamazisha vyombo vya habari visitoe habari kuhusu kinachoendelea chadema.
Dunia nzima inajua chadema imepasuka vipande vikubwa viwili na watu wanataka kusikia kinachoendela.
Tunakataa huu udikteta unaoendelea ndani ya Chadema na wanataka kuuleta mpaka kwenye uhuru wa vyombo vya habari.
Godbless Lema nakuonya acha huu udikteta wenu ambao mnataka kutuletea kwenda hii nchi.
Mgombea wa ccm alipatikana kwa democrasia ipi?Chama kimejaa udikteta mnataka kucontrol media hii hatuwezi ikubali.
Tutaukataa udikteta wao kwa nguvu zote.CHADEMA WANAONGOZWA NA MADIKTETA .
Hii mada inahusu CCM?Mgombea wa ccm alipatikana kwa democrasia ipi?
Si bure utakuwa bwabwa maku weweView attachment 3295937
Watanzania wote tumepigwa na butwaa hii tabia mbaya ya kidikteta inayoota mizizi kwenye chama cha Chadema.
Baada ya kuwafunga midomo wanachama wa Chadema wasitoe maoni wala mawazo mbadala kwa kutishia kuwafukuza, kuwapa majina mabaya na kuwanyamazisha.
Sasa tunaona kiongozi wa Chadema mpya godbless Lema akijaribu kunyamazisha vyombo vya habari visitoe habari kuhusu kinachoendelea chadema.
Dunia nzima inajua chadema imepasuka vipande vikubwa viwili na watu wanataka kusikia kinachoendela.
Tunakataa huu udikteta unaoendelea ndani ya Chadema na wanataka kuuleta mpaka kwenye uhuru wa vyombo vya habari.
Godbless Lema nakuonya acha huu udikteta wenu ambao mnataka kutuletea kwenda hii nchi.
Nasita kuwapa kura yanguTake a picture, hao ni viongozi wa kichama tu, wameonyesha udikteta wa Hali ya juu, JE MFANO WAJE KUWA VIONGOZI WA TAIFA HILI TANZANIA ITAKUWAJE?, HAYA MAMBO WATU HUYAZUNGUMZA TU KWA KUPIGA KELELE, UKIWAWEKA KWENYE VIJINAFASI VIDOGO NDIPO UTAPATA INNER BEHAVIOUR!, WALIMTUSI MAGUFULI BURE TU, KUMBE NAO NDIO WALE WALE TU.
Yani hawataki kusikia mawazo ya wengine wanataka kumgeuza Lissu ni mungu wao.Lissu na genge lake wanaiua demokrasia ndani ya Chadema
Duh naona unataja tabia za baba yakoSi bure utakuwa bwabwa maku wewe